Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa (wa pili kushoto)akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited ‘Konyagi’, David Mgwassa (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.

Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited.

Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.

Mkurugenzi Mtendaji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA DISTILLERIES LTD WACHANGIA MILIONI 10 MFUKO WA IMETOSHA FOUNDATION

Kampuni ya Tanzania Distilleries LTD (TDL),imechangia kiasi cha sh.milioni 10 kwa harakati ya Imetosha inayopiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino,ambayo itafanya matembezi ya hisani machi 29 mwaka huu yatakayofanyika kuanzia katika viwanja vya Biafra na kuishia katika Viwanja vya Leaders Klabu,Kinondoni jijjni Dar es Salaam.
Akizunguma na waandishi wa habari wakati kutangaza kutoa mchango huo,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,David Mgwassa amesema kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu ni...

 

9 years ago

Mtanzania

Orijino Komedi kutunisha mfuko wa Imetosha Foundation

orijino komediNA MWANDISHI WETU

USHIRIKIANO wa Imetosha Foundation na Orijino Komedi, unatarajia kutoa burudani ya vichekesho vyenye lengo ya kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo kitakachoendesha shughuli za ujasiriamali kwa watu wenye ualbino.

Burudani hiyo kwa ajili ya kuchangia kituo hicho kitakachoitwa Santa Lucia ambacho kitajengwa huko Bumbuli Lushoto mkoani Tanga, itafanyika Septemba 11 katika usiku maalumu uliopewa jina la Ucheshi na muziki katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MJI KOROGWE WAUPOKEA KWA KISHINDO MPANGO WA TIKA, WACHANGIA MIL. 1.3

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa akifungua mkutano wa siku ya wadau wa Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA) ambapo Lengo la mkutano huo ilikuwa ni kuchukua maoni yao na kuwaeleza jinsi TIKA inavyofanya kazi. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 28, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Pembeni ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mheshimiwa Mrisho Gambo (kushoto) na Mwenyekiti wa Hamashauri ya Mji Korogwe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilole, Mheshimiwa Angello...

 

10 years ago

Michuzi

HARAKATI YA IMETOSHA KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI MACHI 29,YAPEWA MCHANGO WA MIL. 10 KUTOKA TDL

Kampuni ya Tanzania Distilleries LTD (TDL),imechangia kiasi cha sh.milioni 10 kwa harakati ya Imetosha inayopiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino,ambayo itafanya matembezi ya hisani machi 29 mwaka huu yatakayofanyika kuanzia katika viwanja vya Biafra na kuishia katika Viwanja vya Leaders Klabu,Kinondoni jijjni Dar es Salaam.
Akizunguma na waandishi wa habari wakati kutangaza kutoa mchango huo,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,David Mgwassa amesema kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania

Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya  Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...

 

10 years ago

TheCitizen

Tanzania Distilleries introduces Scotch whisky

>Tanzania Distilleries Ltd (TDL) has added one more product to the range of spirits and wines it distributes in the country.

 

9 years ago

Dewji Blog

MO Dewji Foundation yatoa msaada wa Mil. 110/- kwa Taasisi inayowasaidia watoto wenye kansa ya Tumaini la Maisha

IMG_8716

Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye kansa nchini na waandishi wa habari katika hafla  fupi ya kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya watoto wenye kansa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za MeTL Group jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, Gerard Mongera  na Wa pili kushoto ni Ofisa anayesimamia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani