Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA DMV WATOKA SARE 2-2 NA ZAMBIA

 Kocha mchezaji wa timu ya Tanzania DMV Dedi Luba akifuatilia mchezo kati ya Tanzania DMV walipocheza na Zambia siku ya Jumapili Aug 16, 2015 Silver Spring, Maryland na timu kufungana bao 2-2. Hii mechi ilikua ya marudiano katika mechi ya kwanza iliyochezewa Meadowbrook Park, Tanzania DMV waliishinda Zambia kwa bao 6-3. Katika mechi ya jana timu ya Zambia walikua wakiongoza kwa goli 1 mpaka mapumziko na waliongeza goli la 2 katika dakika ya 52 ya mchezo. Baada ya magoli hayo kuliizindua timu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMBA, YANGA WATOKA SARE TAIFA, DAR

Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza leo dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Taifa Dar. Kikosi cha timu ya Yanga kilichonza dhidi ya Simba.…

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… ...

 

11 years ago

Michuzi

MTIBWA SUGAR WATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA YANGA


Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Iliyoanza Leo Dhidi Ya  Yanga. Waliosimama Kutoka Kushoto : Salum Mbonde,Dickson Daud,Abdalah Juma, Ally Shomary, Shaban Nditi,Walioinama Kutoka Kushoto : Vicent Barnabas, Said Mkopi,ShabanKisiga,Husein Ramadhan, Paul Ngalema  Kikosi cha Timu ya  Yanga Kilichoanza Leo : Kutoka Kushoto Didier Kavumbangu, Haroub Canavaro,Khamis Kiiza,Oscar Joshua,Frank Domayo,Simon Msuva, Juma Abdul,Nizar Khalifan,Mbeleni Juma Kaseja. 






Na  MATUKIO NA VIJANA...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA

Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mhe Balozi Grace Mujuma tarehe 2 Julai hadi 6 Julai 2014 alifanya ziara ya kikazi ya siku nne jimbo la Copperbelt mji wa Ndola. Katika ziara hiyo, Mhe Balozi aliambatana na Afisa Ubalozi Richard M. Lupembe. Sambamba na ziara hiyo, tarehe 6 Julai 2014 Mhe Balozi alikutana na kufanya mkutano na Watanzania ambao ni wajasiriamali wadogo wadogo wanaoishi Mjini Ndola Zambia.
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WATOKA NJE YA BUNGE LA EALA WAKIGOMEA MUSWADA WA BANDARI AMBAO HAUNA MASLAHI NA TAIFA




Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa Tanzania kwenye bunge la Afrika mashariki wametoka nje ya bunge akigomea kuletwa kwa muswada wa mabadiliko ya sheria za bandari ambao hauna maslahi na taifa letu. 
Akiongea nje ya ukumbi wa bunge hilo Mariamu Ussi Yahaya alisema kuwa muswada huo unaotakiwa kuletwa utaounguza mapato ya bandari zetu hivyo hauna maslahi kwa taifa letu. 
Alieleza kuwa nchi zenye bandari kwenye jumuiya hiyo ni Tanzania na Kenya hivyo kuletwa kwake ndani ya bunge kwa wakati huu sio...

 

10 years ago

GPL

NGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’

Twanga wakikamua jukwaani. Umati wa watu wakisebeneka Kalala Junior akiimba kwa hisia. Luiza Mbutu akiyarudi…

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA, ZAMBIA (TANZANIA WEEK) 25 -31 JULAI 2014

 Katika kuendelea kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50 tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani