Tanzania, DRC zaimarisha uhusiano kiuchumi
SERIKALI ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya usafirishaji wa bidhaa kati ya nchi hizo, ili kurahisisha usafirishaji wa shehena ya Kongo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Mashambulio Paris: Kenya na Uganda zaimarisha usalama
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Uhusiano wa Mandela na Tanzania
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano
Na Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.
Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...
10 years ago
Habarileo28 Jan
India kuimarisha uhusiano na Tanzania
BALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
‘Tanzania inahitaji mabadiliko ya kiuchumi’
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika sekta ya uchumi yatakayosaidia kuharakisha maendeleo ya viwanda hali ambayo itasaidia kutatua tatizo la ajira kwa wananchi wake...
11 years ago
Habarileo03 Apr
Balozi: Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri
SERIKALI ya Rwanda imesema uhusiano wake na Tanzania ni mzuri na kwamba hakuna chokochoko zinazofanywa na upande wowote. Balozi wa Rwanda, Ben Rugangazi alitoa msimamo huo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Chadema wahoji uhusiano Tanzania, Rwanda
9 years ago
Michuzi12 Oct
UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA
Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Oktoba 12, 2015)Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati wa halfa ya uzinduzi wa chaneli mpya ya filamu ya China –Africa Movies itakayoonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha Easy Television kilichopo nchini.
Bw. Mwambene amesema kuwa...