Tanzania kunufaika na MEFMI
TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na Chombo cha kutoa Mafunzo ya Usimamizi wa masuala ya Uchumi kwa Watendaji wa nchi wanachama wa chombo hicho (MEFMI) kwa Afrika Mashariki na Kusini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
MEFMI yafanya majadiliano na magavana wa nchi za Afrika Mashariki na kusini
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Magavana wa Mashariki na Kusini mwa Afrika baada ya mkutano wa MEFMI.(Picha na Eva Valerian, Peru – Lima).
Katika kipindi hiki cha mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa, kumekuwa na mikutano mbalimbali inaendelea hapa nchini Peru. Mikutano hiyo inaendeshwa na Taasisi mbalimbali zenye utaalamu wa kiuchumi na kifedha....
10 years ago
Mtanzania28 Sep
Tanzania yazidi kunufaika na uwekezaji
Na Enock Bwigabe, TUDARCO
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimesema Tanzania imepata uwekezaji wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 100 zitakazochangia katika uboreshaji wa utalii na masuala ya uhifadhi nchini.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana, ilisema uwekezaji huo ulithibitishwa mwanzoni mwa mwezi huu kupitia Kamati ya Uendeshaji ya Uwezeshaji ya Taifa (NISC) iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo,...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Tanzania imejiandaaje kunufaika na mafuta?
11 years ago
Mwananchi31 Jan
WEF yaitaja Tanzania kunufaika kiuchumi
10 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA


10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania kunufaika na uwekezaji wa mabilioni ya Marekani katika umeme
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu na Mtawala Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo ya Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID), Bwana Raj Shah. (Picha na Maktaba).
*Ni moja ya nchi tatu tu za Afrika zitakazonufaika kwa sasa
*India nayo italengwa na mpango huo wa sekta binafsi
*Walioubuni wasema umasikini haufutiki bila umeme wa kutosha
Tanzania ni moja ya nchi tatu tu za Afrika ambazo zitanufaika na uwekezaji wa...
10 years ago
Michuzi
FURSA MILIONI 885 ZA CHINA,TANZANIA KUNUFAIKA NAZO

Gavana wa Benki Kuu nchini,Profesa Beno Ndulu amesema kazi milioni 885 za nchi ya jamhuri ya watu wa China wameshindwa kuziendesha,hivyo Tanzania inaweza kufaidika na kazi hizo katika kuongeza pato la taifa kwa sekta ya viwanda.
Profesa Ndulu ameyasema hayo leo katika warsha ya kujadili chamgamoto na jinsi ya kukabiliana nazo kwa ukuaji wa Uchumi kutokana na rasilimali zilizopo nchini.
Amesema pato la taifa katika sekta ya viwanda limezidi kukua kwa dola za...
10 years ago
Michuzi18 Nov
Vijana Tanzania kunufaika na siku ya idadi ya watu - UNFPA

10 years ago
GPL
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA