Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania ya pili kwa matumizi ya Smartphone

TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya pili katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, kwa manunuzi na utumiaji wa simu za smartphone ikitanguliwa na Afrika Kusini. Mkurugenzi wa kampuni ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya dola dharau kwa Tanzania

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita hapa nchini, shilingi ya Tanzania ilianza kupotea thamani yake kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kukithiri kwa matumizi ya fedha za kigeni hususan Dola ya Marekani.

 

11 years ago

Ykileo

TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WACHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOW 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China , Serikali ya Marekani inailaumu china kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine huku china nayo ikiilaumu marekani taarifa juu ya hili inaweza kusomeka "HAPA" .


Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi vingine...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania nchi ya pili Afrika kutoa leseni kwa mtandao

TANZANIA inatarajia kuwa nchi ya pili Afrika itakayokuwa ikitoa leseni za uchimbaji madini kwa njia ya mtandao. Kamishina wa Madini Tanzania, Paul Masanja alisema wanasubiri Sheria ya Madini ifanyiwe marekebisho na Bunge kuruhusu utolewaji wa leseni hizo.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA BARCLAYS TANZANIA YAZINDUA KAMPENI YA MATUMIZI YA KADI ZA VISA KWA WATEJA WAKE.


Meneja wa bidhaa wa benki ya Barclays Tanzania, Valence Luteganya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuzindua kampeni ya matumizi ya Kadi za VISA za benki ya Barclays kwaajili ya wateja wake. Pia Lutenganya amesema kuwa kampeni hii itadumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Desemba 17 mwaka huu hadi Februari 28, 2016. Kampeni hii itamwezesha mteja kunufaika na mafao mbalimbali yanayohusiana na malipo kabla na baada ya kutumia kadi zao za Visa. Wateja wenye...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-1

Na Mwandishi Wetu

Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.

Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-smartphone

Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa

1

Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.

Hussein Makame-MAELEZO

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.

Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...

 

10 years ago

Dewji Blog

Obi kuwekeza kwenye soko la smartphone zenye gharama nafuu Tanzania

DSC_0248

Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles, Afrika Mashariki na Kati na Afrika, Amit Rupchandani (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari )hawapo pichani) jijini Dar leo wakati wa utambulisho wa simu za aina ya smartphone zinazotengenezwa na Obi. Kushoto ni Mkurugenzi wa DESPEC Afrika, Farouk Jivani ambao ndio wasambazaji wakuu wa bidhaa hizo Tanzania na Afrika Mashariki na Kulia Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Obi, Yusuf Khan.(Picha na Zainul Mzige).

Na Andrew...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani