Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yapoteza Sh800 bilioni kwa mwaka

>Tanzania imepoteza kiasi cha Dola 462 milioni za Marekani (sawa na Sh794.6 bilioni) mwaka 2013  kutokana na rushwa, udanganyifu katika ankara za malipo na ukwepaji wa kodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

City of Tshwane yapoteza tshs bilioni 8.9 kwa kufutwa kwa tamasha la TribeOne

Rand milioni 65 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 8.9 za Tanzania za manispaa ya City of Tshwane zimepotea kutokana na kufutwa kwa tamasha la TribeOne ambalo Nicki Minaj na wasanii wengine walikuwa watumbuize. Gazeti la City Press limeripoti kuwa rand milioni 10 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.4 alizolipwa Nicki Minaj ambazo hazitarejeshwa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-

Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 42 kulamba Sh3.3 bilioni kwa mwaka

Dar es Salaam. Kipindi kama hiki, mwaka jana kulikuwa na mnyukano mkubwa wa maoni kuhusiana na pendekezo la Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwamba muundo wa Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uwe wa Serikali tatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Sekta ya utalii yaingiza dola bilioni 2 kwa mwaka

Gavana nduluNA ADAM MKWEPU DAR ES SALAAM
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, amesema sekta ya utalii nchini inaongoza kwa kuliingizia taifa fedha za kigeni na kufikia dola za Marekani bilioni 2 kwa mwaka kutokana na hali ya mabadiliko ya mfumo wa mapato hayo.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa mwaka ulioandaliwa na taasisi inayoshughulika na mambo ya utafiti wa kupunguza umasikini (Repoa), ambapo aliitaja sekta ya madini hasa ya dhahabu kuwa ya pili...

 

5 years ago

CCM Blog

BUNGE LIMERIDHIA NA KUPITISHA TSH. BILIONI 40 KWA WIZARA YA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma.Katika  kutekeleza majukumu ya Wizara kwa mwaka 2020/21 Bunge limeridhia  na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Habari ,Sanaa,Utamaduni na Michezo  kwa mwaka 2020/21 ya jumla ya Shilingi Bilioni Arobaini, Milioni Mia Moja Arobaini, Mia Sita Arobaini na Moja Elfu (Sh. 40,140,641,000).

Akiwasilisha  hotuba ya Madirio na Matumizi  ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2020/2021      Bungeni jijini Dodoma leo April 22,2020 Waziri Wa Habari,Sanaa ,Utamaduni na Michezo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa chai hupoteza Sh3 bilioni kwa mwaka - SUA

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), umebaini kuwa zaidi ya Sh3 bilioni hupotea kwa mwaka kutokana na viwanda vingi kufungwa kutokana na migogoro ya wakulima wa chai sehemu za uzalishaji.

 

11 years ago

Michuzi

MAGADI SODA YAGUNDULIKA, KULIINGIZIA TAIFA SHILINGI BILIONI 480 KWA MWAKA

Meneja Uhusiano na Mawasiliano  wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Bw. Abel Ngapemba akifanunua kwa waandishi umuhimu wa mradi wa uchimbaji magadi soda  katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO. Kushoto kwake ni Mhandisi wa mradi Godfrey Mahundi na mkuu wa kitengo cha viwanda vya Kemikali Mhandisi Abdallah Mandwanga. ----------------------------------------   Na Frank Mvungi-MAELEZO

 Tanzania ni miongoni  mwa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YAPATA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 15.9 KWA MWAKA UNAOISHIA DESEMBA 31,2019


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TPB Dk. Edmund Mndolwa,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya kodi ya Sh.bilioni 15.9 kwa mwaka Desemba 2019.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Mushingi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Sabasaba Moshingi,(kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa kutoa tarifa ya kupata faida ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani