Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YATUNUKIWA CHETI KWA KUTOKOMEZA UGONJWA WA POLIO

(Pichani ni Watoto walioathirika na Polio. Picha kwa hisani ya shirika la WHO).Na Magreth Kinabo.TANZANIA imetangazwa rasmi kuwa ni mojawapo ya nchi isiyokuwa na ugonjwa wa polio katika nchi za Afrika katika mkutano wa Tume ya Afrika ya kuthibitishwa kutokomezwa kwa polio(Afrika Regional Certification Commission for Polio Eradication).
Kutangazwa kulifanyika katika mkutano huo uliofanyika nchini Madagascar, Novemba 26, mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Tanzania yaingia katika historia yatunukiwa cheti cha kumaliza Polio

Tanzania imeingia kwenye historia ya nchi zisizokuwa na ugonjwa wa Polio barani Afrika na kutunukiwa cheti maalumu cha kupambana na ugonjwa huo tangu kuthibitishwa mgonjwa wa mwisho mwaka 1996.

Tanzania imeingia kwenye historia hiyo baada ya Tume ya Afrika ya kudhibiti na kutokomeza Polio kuitangaza Novemba 26, mwaka huu kwenye mkutano huko nchini Madagascar.

Hatua hii inaleta matumaini kwa Serikali  na wadau mbalimbali wa afya kwa juhudi kubwa zilizofanyika za kuutokomeza ugonjwa wa Polio...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yapewa cheti cha kutokuwa na ugonjwa wa Polio

Tanzania imetangazwa  rasmi kuwa ni mojwapo ya nchi isiyokuwa na ugonjwa wa polio katika nchi za Afrika katika mkutano wa Tume ya Afrika ya kuthibitishwa kutokomezwa kwa polio(Afrika Regional Certification  Commission for Polio Eradication).

 

5 years ago

Michuzi

MWAUWASA YATUNUKIWA CHETI CHA USHINDI KWA HUDUMA NZURI


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kulia) akipokea Cheti cha Ushindi kutoka kwa Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Ziwa, George Mhina.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kushoto) akimkabidhi Cheti cha Ushindi Meneja Utawala na Rasilimali Watu wa MWAUWASA, Deogratius Magayane mara baada ya hafla.
Cheti cha ushindi kilichokbidhiwa kwa MWAUWASA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi...

 

11 years ago

Habarileo

Benki ya Exim yatunukiwa cheti cha ubora wa mafunzo

KITUO cha mafunzo cha Benki ya Exim nchini, kimetunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa viwango (ISO) kuashiria ubora wa mafunzo yatolewayo. Kilizinduliwa na benki hiyo mwaka jana kwa lengo la kuongeza ufanisi na uwezo kwa wafanyakazi na tayari kinatoa programu muhimu za kibenki kwa wafanyakazi wa benki hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugonjwa wa Polio waibuka Pakistan

Visa 10 vya maradhi ya polio vimethibitishwa nchini Pakistan na kuzua hofu ugonjwa utaenea

 

5 years ago

BBCSwahili

Polio: 'Sikuiamini chanjo mpaka mtoto wangu alipopata polio'

Mwanaume aliyekuwa anawafukuza wahudumu wa afya nyumbani kwake nchini Nigeria, sasa amekuwa muhamasishaji wa chanjo

 

10 years ago

Mwananchi

MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), jana ilitunukiwa cheti cha ushindi wa kuhamasisha jamii kulipa kodi ya Serikali kwa mwaka 2014 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

 

9 years ago

BBCSwahili

Moja kwa moja: Magufuli kukabidhiwa cheti Tanzania

Mgombea urais wa chama cha CCM John Magufuli leo anakabidhiwa cheti cha ushindi na tume ya uchaguzi baada yake kutangazwa mshindi Alhamisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani