Tanzania yatupwa kwa Misri, Nigeria
Tanzania imepangwa kundi gumu lenye timu za Nigeria, Misri katika harakati zake za kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 zitakazofanyika Gabon.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Liverpool yatupwa kwa Chelsea
Liverpool itakutana na Chelsea katika nusu fainali ya Kombe la Ligi baada ya Raheem Sterling kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth juzi, wakati Tottenham ikishinda kirahisi 4-0 mbele ya Newcastle.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Twiga Stars yatupwa kwa Zimbabwe
 Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania 'Twiga Stars itaanza harakati zake za kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2016, Cameroon kwa kucheza dhidi ya Zimbabwe mwakani.
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Tuiandae vyema Stars kuzikabili Nigeria, Misri
Ni wakati mwingine kwa Tanzania kujipanga katika soka baada ya wiki hii Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutangaza ratiba ya kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017 (Afcon) na pia fainali za wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) za mwaka 2016, ambako Taifa Stars imepangiwa timu ngumu.
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Uchaguzi wa Nigeria na funzo kwa Tanzania
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wananchi wa Nigeria walipiga kura kumchagua Rais katika uchaguzi wenye ushindani mkali kati ya Rais wa sasa, Goodluck Jonathan na mpinzani wake Jenerali Muhamadu Buhari.
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Ushindi wa upinzania nchini Nigeria kwenye Uchaguzi wa Majimbo na mafunzo kwa Tanzania
Ndugu wasomaji wangu sikuweza kuwa nanyi kwa takribani wiki sita kutokana na sababu za kiufundi kwani gazeti lilikuwa na masuala muhimu ya uchaguzi ambayo ilikuwa lazima wayachapishe
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wameshinda tuzo nyingine za kimataifa za ‘All Africa Music Awards’ (AFRIMA) zilizotolewa usiku wa December 27 huko Lagos, Nigeria. Vanessa a.k.a Vee Money ameshinda kipengele cha ‘Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki’, na kuwashinda Wahu (Kenya), Size 8 (Kenya), Muthoni the Drummer Queen (Kenya), Kaz (Kenya) na Jackie Chandiru (Uganda) […]
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Soka Ufukweni:Tanzania, Misri kupmbana
Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni (Beach Soccer) inatarajiwa kucheza na timu ya Taifa ya Misri siku ya ijumaa
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Tanzania kuivaa Misri michuano ya AFCON
Taifa Stars inaondoka Ijumaa jioni kuelekea Misri tayari kuwania kucheza AFCON 2017.
11 years ago
MichuziTanzania na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania