Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twiga Stars yatupwa kwa Zimbabwe

 Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania 'Twiga Stars itaanza harakati zake za kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2016, Cameroon kwa kucheza dhidi ya Zimbabwe mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars, yapangiwa Zimbabwe

TIMU ya soka ya taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ itaanza kampeni ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani huko Cameroon kwa kuchuana na Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya mchujo.

 

10 years ago

Mwananchi

Twiga Stars yafuzu kwa kipigo

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imefuzu kushiriki Michezo ya Afrika mwezi Septemba nchini Congo-Brazaville licha ya kufungwa na Zambia (She-polopolo) kwa mabao 3-2 katika mchezo mkali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA STARS YALALA 2-1 KWA ZAMBIA LEO JIJINI LUSAKA

Twiga Stars imepoteza mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) baada ya leo kufungwa mabao 2-1 na Zambia (Shepolopolo) kwenye Uwanja wa Nkoloma jijini Lusaka.
Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika katika mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Salma Mukansanga timu hizo zilikuwa suluhu.
Wenyeji ndiyo walianza kupata bao lililofungwa na Hellen Mubanga dakika ya 75. Mfungaji huyo aliyeingia kipindi cha pili nchini alimalizia wavuni...

 

11 years ago

GPL

stars yatupwa nje Afcon 2015

Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' Na Mwandishi Wetu
NDIYO basi tena! Taifa Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2015), baada ya kufungwa mabao 2-1 na Msumbiji jijini Maputo, jana Jumapili.Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3, baada ya awali kulazimishwa sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mechi hiyo ya jana, Msumbiji ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kwanza kupitia kwa...

 

11 years ago

TheCitizen

Twiga Stars out to down Zambians

>The national women’s soccer team, Twiga Stars, will be seeking a flying start when they take on Zambia’s Shepolopolo in the 2014 Africa Championship preliminary round, first leg qualifier at Nkoloma Stadium.

 

9 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kibaruani

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Twiga Stars inalazimika kucheza kufa na kupona leo ili kuhakikisha inapata ushindi dhidi ya Nigeria na kufufua matumaini ya kusonga mbele katika mashindano ya Afrika yanayoendelea Congo Brazzaville.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars yatolewa

Ndoto ya Tanzania kucheza fainali za Afrika za wanawake mwaka huu zimefutika baada ya Twiga Stars kulazimishwa sare 1-1 na Zambia na hivyo kuondolewa kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2 jana kwenye Uwanja Azam Complex.

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars yaenda Congo

HATIMAYE timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars, inatarajia kuondoka leo jioni kwa ndege maalum kwenda Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika ( All African Games).

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars giza nene

TIMU ya taifa soka ya taifa ya wanawake Twiga Stars jana ilishindwa kwenda Congo Brazzaville, kushiriki Michezo ya Mataifa ya Afrika kwa sababu ya ukata, imeelezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani