Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soka Ufukweni:Tanzania, Misri kupmbana

Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni (Beach Soccer) inatarajiwa kucheza na timu ya Taifa ya Misri siku ya ijumaa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaifunga Kenya soka ya ufukweni

Timu Tanzania ya mpira wa ufukweni leo imeiondoa Kenya katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, kwa kuifunga kwa mabao 7-6.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania,Kenya kupambana Soka Ufukweni

Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni imeibuka kidedea baada ya kuifunga Kenya mabao 5-3

 

9 years ago

Habarileo

Mkufunzi soka la ufukweni ateta na makocha, waamuzi

MKUFUNZI wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wa Soka la Ufukweni, Twalib Hilal amekutana na makocha, waamuzi wa mchezo wa ufukweni waliopo jijii Dar es Salaam ili kubadilishana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Timu ya soka la ukweni kuelekea Misri

Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni inatarajiwa kuondoka , kuelekea jijini Cairo nchini Misri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania mwenyeji mpira wa ufukweni

Tanzania imechaguliwa na shirikisho la mpira wa wavu Afrika kuwa wenyeji wa michuano ya kanda ya Tano ya mpira wa wavu ufukweni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yaifunga Burundi wavu ufukweni Tanzania

Kenya (wanaume) imeifunga Burundi kwa seti 2-1 katika michuamo ya wavu ya ufukweni .

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yatupwa kwa Misri, Nigeria

Tanzania imepangwa kundi gumu  lenye timu za  Nigeria, Misri katika harakati zake za kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika  mwaka 2017 zitakazofanyika Gabon.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kuivaa Misri michuano ya AFCON

Taifa Stars inaondoka Ijumaa jioni kuelekea Misri tayari kuwania kucheza AFCON 2017.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  wakizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu  ziara ya siku tatu ya Mhe. Fahmy hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 23 Februari, 2014. Mhe. Fahmy yupo nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.  Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwasikiza Mhe. Membe na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani