Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzanite wa H.Baba aingia kwenye mashindano ya urembo Rwanda

Mtoto wa kike wa H.Baba, Tanzanite, amedaiwa kutajwa kushiriki katika mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa nchini Rwanda. H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa hivi karibuni Tanzanite atasafiri kuelekea nchini Rwanda kwaajili ya mashindano hayo. “Kenya tayari wameshamuona, mwezi wa 12 anaenda Rwanda kwenye mashindano ya urembo ya watoto wa mastaa ambayo yanafanyika nchini Rwanda,” amesema […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Prof Maghembe asema urais si mashindano ya urembo

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameshangazwa na utitiri wa watu wanaotaka kugombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, akisema nafasi hiyo ya juu nchini haifanani na mashindano ya urembo ambayo mtu yeyote anaweza kujaribu.

 

10 years ago

Vijimambo

MISS TANZANIA 2013 AAHIDI MAKUBWA MASHINDANO YA UREMBO YA DUNIA

Mkurugenzi wa Lino International Agency Limited, Bw. Hashim Lundenga (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu safari ya Mrembo wa Tanzania wa mwaka 2013 kuelekea katika Mashindano ya Urembo wa Dunia (Miss World 2014) nchini Uingereza.Mshindi wa Mashindano ya Urembo Tanzania kwa mwaka 2013, Happiness Watimanywa (kushoto) akieleza jambo mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu safari yake ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

H-baba afafanua siri ya Tanzanite

MSANII wa Bongo Fleva H-Baba, amesema anafarijika kumuita mwanae jina la Tanzanite, moja ya madini ya thamani yanayopatikana Tanzanzania pekee. Kwa mujibu wa H-Baba, mume wa muigizaji Frola Mvungi ambaye...

 

10 years ago

Bongo5

Hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite — H.Baba

H.Baba amejigamba kwa kusema kuwa hakuna staa wa Tanzania mwenye mtoto mwenye mvuto kumzidi mwanae Tanzanite!!!!??? H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa tayari mtoto wake huyo amepata tangazo la kimataifa nchini Kenya. “Mwezi ujao mama yake ana safari naye kwenda Kenya kufanya tangazo,” amesema muimbaji huyo. “Sema tunashindwa kuweka wazi mambo yetu kwa sasabu kuwa watu wanapiga […]

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo

H.Baba hataki mchezo. Muimbaji huyo wa mtindo alioupa jina ‘Bongo Bolingo Flava’, amesema mwanae wa kike, Tanzanite ana meneja wake anayejitegemea. H.Baba na mwanae Tanzanite Akizungumza jana kwenye kipindi cha The Mboni Show cha TBC 1, H.Baba, alisema yeye na mke wake watakuwa hawahusiki kwenye biashara zitakazojitokeza kwa mtoto wao huyo. “Mke wangu ana meneja […]

 

9 years ago

Bongo5

Madee aingia kwenye biashara ya magari ya kukodi

Madee2

Madee amefungua mwaka kibiashara zaidi kwa kuja na kampuni ya kukodisha magari iitwayo Tip Top Connection Tour.

Madee2

Madee amesema ameona ni bora afungue mwaka 2016 kibiashara zaidi.

“Nimefungua kampuni ya kukodisha magari ambayo inaitwa Tip Top Connection Tour,” alisema.

“Tutakuwa tunakodisha watu ambao watakuwa na safari zao ndani ya Dar es Salaam na nje wanione mimi.”

Kwahiyo mwaka 2016 ndio utakuwa hivyo thabiti kabisa kwa sababu tayari tulikuwa tunajaribu kuongeza gari na kufikia saba,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda yatupwa nje ya mashindano ya CAF

CAF yaipiga marufuku Rwanda kwa kumchezesha Dady Birori mwenye vyeti viwiili vya uraiya

 

9 years ago

Bongo5

Olivier Giroud aingia kwenye vitabu vya rekodi za Arsenal

2F56C70800000578-0-image-m-23_1450049724758

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya tafifa ya Ufaransa Olivier Giroud baada ya kufunga wikiend hii amefikisha idadi ya magoli 50 katika ligi ya EPL goli hilo la mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Aston Villa baada ya Alan Hutton kumvuta Theo Walcott kwenye eneo la box.

2F56C70800000578-0-image-m-23_1450049724758

2F59569700000578-3358700-image-a-40_1450051755102

Giroud alifunga mkwaju huo wa penati na kufikisha magoli 14 msimu huu na kuwa mchezaji wa saba wa Arsenal kufunga magoli 50 kwenye ligi ya EPL wakati yeye ikimchukua michezo 113 kufikia rekodi hiyo.

2F56C0DB00000578-0-image-a-24_1450049738140

Wachezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani