Madee aingia kwenye biashara ya magari ya kukodi
Madee amefungua mwaka kibiashara zaidi kwa kuja na kampuni ya kukodisha magari iitwayo Tip Top Connection Tour.
Madee amesema ameona ni bora afungue mwaka 2016 kibiashara zaidi.
“Nimefungua kampuni ya kukodisha magari ambayo inaitwa Tip Top Connection Tour,” alisema.
“Tutakuwa tunakodisha watu ambao watakuwa na safari zao ndani ya Dar es Salaam na nje wanione mimi.”
Kwahiyo mwaka 2016 ndio utakuwa hivyo thabiti kabisa kwa sababu tayari tulikuwa tunajaribu kuongeza gari na kufikia saba,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Sep
Tanzanite wa H.Baba aingia kwenye mashindano ya urembo Rwanda
9 years ago
Bongo514 Dec
Olivier Giroud aingia kwenye vitabu vya rekodi za Arsenal
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya tafifa ya Ufaransa Olivier Giroud baada ya kufunga wikiend hii amefikisha idadi ya magoli 50 katika ligi ya EPL goli hilo la mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Aston Villa baada ya Alan Hutton kumvuta Theo Walcott kwenye eneo la box.
Giroud alifunga mkwaju huo wa penati na kufikisha magoli 14 msimu huu na kuwa mchezaji wa saba wa Arsenal kufunga magoli 50 kwenye ligi ya EPL wakati yeye ikimchukua michezo 113 kufikia rekodi hiyo.
Wachezaji...
9 years ago
Bongo516 Sep
Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki. Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu […]
The post Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa. appeared first on...
9 years ago
Bongo503 Nov
Samatta aingia kwenye Top 10 ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika (Based in Africa) 2015
Mchezaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika.
Samatta ambaye pia anaichezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.
Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
Tuzo hiyo...
11 years ago
CloudsFM06 Jun
CHATU AZUA KIZAAZAA ARUSHA AINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU AKUTWA AMEFUNGWA KITAMBAA CHEUPE
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani Arusha siku ya jana walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.Hiki ndicho kitambaa alichokutwa nacho chatu huyo.Source:Arusha Yetu
10 years ago
Bongo522 Jan
Madee amchana Lundenga kwenye ngoma mpya , ‘hao Ma-miss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee’