Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL yajivunia kusaidia jamii

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), ni miongoni mwa zinazojikita katika kusaidia jamii kuondokana na matatizo mbalimbali, yakiwemo ya maji.

Kila mwaka kuna fedha maalumu hutengwa kwa ajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo katika sekta za maji, afya, elimu, kilimo na kuwawezesha wajasiriamali chini ya mpango wa ‘Wezesha na Safari Lager.’

Mpango mwingine wa kampuni hii wa ‘Bila maji hakuna uhai’ umesaidia kuchimbwa visima vya majisafi na salama katika maeneo mengi yaliyokuwa na shida ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yajivunia msisimko mechi Nani Mtani Jembe

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) iliyoratibu kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyoanza Oktoba 6 na kuhitimishwa juzi kwa mechi ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

FISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA

 Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani,katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo  Elisha Maghembe.Picha na Mahmoud Ahmad
.

 

10 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar

01

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto)  kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala  kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali,  Mjumbe wa Kamati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa kusaidia yatima

MKURUGENZI wa Masoko na Mauzo wa Hoteli ya Serena, Seraphin Lusala, ameiomba jamii iongeze juhudi katika kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu. Lusala alitoa kauli hiyo jijini Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Napenda kusaidia jamii kuliko starehe’

>Mwanamuziki maarufu nchini, Naseeb Abdul, ‘Diamond’, amesema anapenda kusaidia jamii kuliko kustarehe.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAPONGEZWA KWA KUSAIDIA JAMII

Zimepita wiki tatu na siku kadhaa tangu ichapishwe habari inayomuhusu mtoto Aloyce Mhagama, mlemavu wa viungo katika Gazeti la Risasi Jumamosi Toleo namba 1087, Aprili 12 mwaka huu lenye kichwa cha habari kinachosema Mtoto: LICHA YA ULEMAVU WANGU HUU, IPO SIKU TU NITAKUWA RAIS, Kampuni ya Global Publishers inayochapisha magazeti pendwa imepongezwa kwa kusaidia jamii. Mtoto Neema Joseph aliyekuwa anasumbuliwa na jicho. ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Insignia kusaidia jamii katika elimu

INSIGNIA_LOGO-page1

Kitendo cha kampuni au taasisi kuisaidia jamii kinageuka kuwa cha kisheria katika baadhi ya nchi na kwa nchi mbalimbali bado ni jambo la uamuzi. Watafiti wamegundua, kampuni tatu kati ya kila kampuni nne tayari wanaisaidia jamii au wana mpango wa kuisaidia jamii, miaka michache ijayo. Asilimia 58 ya makampuni yamethibitika kuwa na bajeti kila mwaka kwa ajili ya uendelezaji wa shughuli hizi.

Tafiti pia zimeonesha kuwa kwa kiasi kikubwa; Zaidi ya asilimia 80 ya kampuni zinachagua elimu kama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu

WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PBZ: Tutaendelea kushirikiana na serikali kusaidia jamii

MAISHA  tunayoishi yanakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo baadhi yake  zimeweza kutatuliwa,  lakini zingine zinashindakana  hadi pale jamii inapopata msaada kutoka nje. Hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara  kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani