Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA Foundation yafutwa mtandaoni, ni ya kitapeli

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeifuta kwenye mtandao taasisi inayodaiwa kuwa ya kitapeli iliyokuwa ikitumia jina la ‘TCRA Foundation’ ikidai inatoa mikopo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

TCRA: App ya Softbox Tanzania inayosemekana kunasa mazungumzo ya simu za watu ni ya kitapeli

phone-hacking

Hii ni taarifa kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA:

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX TANZANIA iliyosemekana iko kwenye Google PLAYSTORE.

Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja na mawasiliano ya WhatsApp kutoka kwenye simu ya mtu binafsi.

Kwa yeyote aliyekuwa na nia hiyo ya kunasa au kuingilia...

 

11 years ago

GPL

TAHADHARI NA MTANDAO WA UTAPELI UNAOJIITA TCRA FOUNDATION

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAHADHARI NA MTANDAO WA UTAPELI UNAOJIITA TCRA FOUNDATION Mamlaka ya Mawasiliano imebaini kuwa kuna mtandao wa matapeli wanaotumia jina la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutumia tovuti inayojiita “TCRA Foundation” na inayodanganya kutoa mikopo kwa maendeleo kwa watu. Tovuti inayotumika ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Epukeni tiba za kitapeli’

MKURUGENZI wa Kitengo cha Tiba Asili na Tiba Mbadala, Dk. Poul Mhare, amewataka wananchi kujiepusha na matapeli wanaoweka mabango barabarani na kujifanya wanatibu magonjwa mbalimbali kwa tiba asilia. Alitoa kauli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Epuka kampuni hii ya kitapeli

SOCIAL Company inayojinasibu kutoa mikopo nafuu isiyokuwa na riba kupitia mfuko wake maalum ujulikanao kama Social Credit & Loans, imegundulika kuwa ya kitapeli. Kampuni hiyo imekuwa ikitumia majina ya watu...

 

11 years ago

Habarileo

‘Kuweni macho na taasisi za mikopo za kitapeli’

WANANCHI wametahadharishwa na utapeli unaofanywa na baadhi ya taasisi hewa hapa nchini zinazodai kutoa mikopo kwa wananchi kwa njia ya simu za mikononi.

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Huwa Anatumia Jina Hili Kwenye Kazi za Kitapeli

JB  na Diana Kimaro

JB Akiwa na Diana Kimaro

Erick ford, ni jina ninalo litumia kwenye filamu zangu za kitapeli, ni muendelezo wa filam za kitapeli ninazo zifanya mara kwa mara. Nilianza na Signature ikafuata Senior Bachelor halafu Mzee wa Swaga kote nilitumia Erick ford.

Mwezi wa pili tutakuja na filamu ya namna hizo inaitwa…Kalambati Lobo, safari hii nimemshirikisha Diana kimaro.

Jacob  Stephen ‘JB’ @ jb_jerusalemfilms on Instagram

 

11 years ago

Habarileo

NGO ya ushoga yafutwa

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imelifutia usajili Shirika la Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF), kwa tuhuma ya kujihusisha na kuhamasisha ushoga nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kadi ya Gabby Agbonlahor yafutwa

Rufaa ya Aston Villa kupinga Kadi Nyekundu aliyopewa Mchezaji wao imefanikiwa na Kadi hiyo kufutwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa

Matokeo ya uchaguzi kisiwani Zanzibar yafutiliwa mbali.Kulingana na mwanahabari wetu aliye eneo hilo Sammy Awamy amethibitisha hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani