Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘TEC isihusishwe mchakato wa urais’

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Tarcisius Ngalalekumtwa amesema kanisa hilo halihusiki wala kuunga mkono harakati za kusaka urais zinazofanywa na baadhi ya watu na vyama vya siasa kama baadhi ya watu wanavyofikiri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO URAIS CCM: Lowassa akatwa

Dodoma. “Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.

 

10 years ago

Habarileo

Mchakato wa urais Chadema kuanza Julai 20

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman MboweCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza tarehe za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuchukua na kurejesha fomu, ambapo kwa nafasi ya Rais, zitatolewa Julai 20 na kurejeshwa Julai 25.

 

10 years ago

Habarileo

Mchakato urais CCM waendelea kunguruma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKADA mwingine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana alijitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa nafasi ya urais kwa chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

ADC yaanza mchakato wa kupata mgombea urais

Chama cha ADC kimeanza mchakato wa kumpata mgombea wa urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

GPL

KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI

Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...

 

5 years ago

Bongo5

Vita dhidi ya waingizaji wa filamu ‘feki’ za nje nchini isihusishwe na siasa – JB

Ikiwa ni siku moja toka biashara ya filamu ‘feki’ za nje zipigwe marufuku mpaka pale wafanyabiashara wa filamu hizo watakapokamilisha taratibu za ulipaji wa kodi, mengi yameendelea kuibuka, ikiwa ni pamoja na wasanii ambao walihusika kwenye kampeni hiyo kuambiwa wanatumika kisisasa.

Jacob Stephan ‘JB’ akiwa na mashabiki wake wa filamu Kariakoo jijini Dar es salaam

Wasanii hao wakiongozwa na JB, Jumatano hii waliungana na ofisi ya Mkoa wa Dar es salaam kufanya opesheni hiyo ndani ya soko la...

 

10 years ago

Mtanzania

TEC yasema ni Katiba ya CCM

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi

NORA DAMIANI, DAR ES SALAAM

MAKAMU wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema licha ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kupitishwa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana, kelele za kudai Katiba Mpya hazitaisha kwani mchakato wa upatikanaji wake haukuwa wa maridhiano.

Akizungumza na gazeti hili jana, Askofu Niwemugizi alisema mchakato mzima umeendeshwa kwa mtazamo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani