Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu….
Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzania ambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi. Kwenye interview yake na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm Tekno amesema mpaka sasa amesharekodi na Rummy,Vanessa Mdee na Diamond Platnumz. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]
The post Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu…. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Dec
New Video: Tekno Miles (Nigeria) — Anything
9 years ago
Bongo522 Oct
Msanii wa Nigeria, Tekno akanusha kuwahi ‘kutembea’ na Masogange
9 years ago
Bongo518 Nov
Video: Diamond atease wimbo mpya wa Tekno wa Nigeria, je ni collabo?
![tekno-miles-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tekno-miles-1-300x194.jpg)
Mkali wa ‘Duro’ Tekno Miles kutoka Nigeria anatarajia kuachia wimbo mpya wiki ijayo, baada ya kufanya vizuri na single ya ‘Duro’ ambayo imeshika chati mbalimbali za Afrika.
Mshindi wa tuzo 3 za Afrima 2015, Diamond ambaye yuko Nigeria alikoenda kwenye tuzo hizo, amewaonjesha mashabiki kupitia akaunti yake ya Instagram kionjo cha wimbo huo. Platnumz amepost video aliyojirekodi akiwa na Tekno kwenye gari yake wakisikiliza wimbo huo huku Tekno akiimba.
“Forget About DURO… we are about to...
9 years ago
Bongo529 Dec
Tekno wa Nigeria kutumbuiza jijini Dar kwenye mkesha wa mwaka mpya
![tekno-miles-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tekno-miles-1-300x194.jpg)
Msanii wa Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa na hit song yake ‘Duro’, Tekno Miles anatarajiwa kutua jijini Dar es salaam wiki hii kwaajili ya kufunga mwaka na mashabiki wake wa Tanzania.
Tekno ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo mpya ‘Wash’ unaoendelea kufanya vizuri, anatarajiwa kufanya show kwenye siku ya mwisho ya mwaka huu December 31, kwenye ukumbi wa King Solomon jijini Dar.
Kupitia akaunti yake ya Insta, Tekno aliyewahi kudaiwa kuwa na mahusiano na Agnes Masogange ameonesha...
9 years ago
Bongo520 Nov
Vanessa Mdee afanya kazi na hit maker wa ‘Duro’ Tekno wa Nigeria
![Vanessa and Tekno](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Vanessa-and-Tekno-300x194.jpg)
Vanessa Mdee ni msanii ambaye hupenda kupika mambo makubwa kimya kimya bila kuoesha hata dalili mpaka anapokaribia kupakua ndio huweka wazi. Lakini safari hii amefanya tofauti kwa kutupa taarifa mapema tutarajie makubwa kutoka kwenye ziara yake ya Nigeria.
Baada ya kushinda tuzo ya AFRIMA 2015, Jumapili iliyopita Lagos, Nigeria ameutumia vizuri muda wake aliokaa nchini humo kufanya kazi na wasanii na ma-producer wa Naija.
Baada ya kushare na mashabiki wake kuwa amerekodi wimbo wa hit maker...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Dakika 7 za Lulu kuhusu kutoka na Tekno wa Nigeria, na caption za Kiswahili Instagram.
Kisa kizima kimeanzia Instagram kwenye picha zilizopostiwa, mwimbaji staa wa Nigeria Tekno miles ambaye alikuja Tanzania weekend iliyopita kwa ajili ya show ndio amehusishwa kama muhusika mkuu kwenye hii ishu, kuipata yote kuanzia mwanzo bonyeza play kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO […]
The post Dakika 7 za Lulu kuhusu kutoka na Tekno wa Nigeria, na caption za Kiswahili Instagram. appeared first on...
9 years ago
Bongo516 Oct
Diamond adai kolabo yake na Ne-Yo imewatisha wasanii wa Nigeria
11 years ago
CloudsFM15 Jul
JOH MAKINI APIGA KOLABO NA MSANII CHIDINMA WA NIGERIA
Wiki iliyopita Mkali wa Hip Hop, John Makini kutoka kampuni ya Weusi alidondoka Jijini Nairobi kwa ajili ya dili la kurekodi kipindi cha Coke Studio, kwenye ‘live performance’ John Makini alishare stage moja na mwanadada kutoka Nigeria Chidinma ambaye amewahi kunyakua tuzo za Nigeria Music Video Aawards pamoja na Kora Awards pia amewahi kuwa nominated kwenye tuzo za MTV na Chanel O music video awards, harakati za Joh wakamvuta Chidinma mpaka studio za R.K na kurekodi ngoma.
10 years ago
Bongo510 Feb
Nay wa Mitego atenga milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria