Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia dhaifu inakwamisha uzalishaji wa embe

Tanzania inatajwa kuwa na nafasi kubwa ya kusafirisha bidhaa za maembe nje ya nchi kwa asilimia 80, lakini habari mbaya ni kwamba inashindwa kufanya hivyo kutokana na kutokuwa na teknolojia ya kisasa ya kuhifadhi na kushindwa kulima kilimo chenye tija.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Rushwa inakwamisha uwekezaji’

Rushwa, ubabaishaji na urasimu ni matatizo yanayotakiwa kutafutiwa ufumbuzi wa haraka, ili kuondoa vikwazo na kurahisisha uwekezaji nchini. 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bajeti inakwamisha mawasiliano kusambaa

SERIKALI imesema utekelezaji wa mpango wa kufikisha huduma za mawasiliano nchi nzima unakwamishwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti katika kukidhi gharama za mpango huo. Katika kukabiliana na changamoto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mivutano inakwamisha maendeleo Ihela — Kapunga

MEYA wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, amesema maendeleo katika Kata ya Ihela yanaziidi kuzorota kila kukicha kutokana na wananchi kuendeleza mivutano ya kisiasa isiyo na tija. Akihutubia wananchi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF inakwamisha soka la kulipwa nchini

Kwa muda mrefu sasa wapenzi, mashabiki na wadau wa soka wamekuwa wakisema umefika wakati wa kuondoka katika soka la ridhaa na kuingia soka la kulipwa.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Majipu kwenye halmashauri ni sawa na embe ng’ong’o

Moja kati ya maeneo yanayopokea fedha nyingi za bajeti ya maendeleo ni Mamlaka za Serikali za mitaa 163 za majiji na miji. Huko ndiko kwenye majipu makubwa kama embe ng’ong’o yanayotakiwa kutumbuliwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: JK ni dhaifu

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete ni dhaifu ndiyo maana anashindwa kufanya mabadiliko ya mawaziri wabovu ambao sasa wanaitwa ‘mizigo’....

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda anatafuta utajiri kwa kuuza embe, wewe unafanya nini? — (1)

Siku hizi vijana wengi ambao wako tu mitaani bila shughuli wakidai kuwa hawana ajira.Hawa utawaona vijiweni ama wakizurura tu mitaani kuanzia asubuhi hadi jioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana: Serikali ni dhaifu

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, amekiri kuwepo kwa udhaifu mkubwa katika utendaji ndani ya serikali. Kinana amesema serikali imekuwa ikisuasua kutatua matatizo yanayowakabili wananchi, ikiwemo migogoro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani