Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Serikali ni dhaifu

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, amekiri kuwepo kwa udhaifu mkubwa katika utendaji ndani ya serikali. Kinana amesema serikali imekuwa ikisuasua kutatua matatizo yanayowakabili wananchi, ikiwemo migogoro...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanaodai serikali ya Tanganyika ni dhaifu

Livingstone LusindeMJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Livingstone Lusinde amesema mtu yeyote anayedai serikali ya Tanganyika ni dhaifu na mwoga na hilo limedhihirishwa kwa wajumbe wa Ukawa kutoka nje ya Bunge na kwamba nchi hii haidaiwi na watu wanaokimbia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bunge dhaifu linaweza kuidhibiti serikali yenye nguvu?

KUNA mambo mawili yamenifanya nitafakari tena kuhusu  uhalisia wa kazi za Bunge.  Na kwa uhalisia  nilikuwa naangalia kazi yake kuidhibiti serikali. Hii ni kazi kubwa ya sana na muhimu kwa Bunge. Lakini inaelekea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: JK ni dhaifu

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete ni dhaifu ndiyo maana anashindwa kufanya mabadiliko ya mawaziri wabovu ambao sasa wanaitwa ‘mizigo’....

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aitolea uvivu Serikali ya CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameikosoa Serikali ya chama chake kwamba imekuwa siyo sikivu kwa matatizo ya wananchi na kuwa wabunge wa chama hicho wanapitisha sheria ambazo zinakuwa mzigo kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Kinana: Magufuli kusafisha CCM na Serikali

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema ndani ya CCM wapo watu wa hovyo, wezi na wanafiki, lakini kama watamchagua Dk John Magufuli kuwa rais, ataisafisha CCM na Serikali yake. “CCM tumejitahidi kuleta maendeleo, lakini lazima nikiri ndani ya CCM kuna kasoro. Tuna mijitu hovyo, tuna wezi, tuna majambazi humo na kuna watu wanafiki ndani ya CCM,” alisema Kinana.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana: Serikali imejizatiti kuongeza ajira



NA SHAABAN MDOE, LONGIDO

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete imejipanga kuhakikisha inaongeza ajira na kudhibiti watumishi. Amesema kurejeshwa kwa mamlaka za ajira ndogo ndogo katika ngazi za halmashauri kutasaidia kuongeza ajira kwa jamii. Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu CCMAliyasema hayo juzi wakati akizungumza kwenye semina ya siku mbili kuhusu ardhi kwa viongozi wa mila wa Kimasai katika Mji wa Namanga wilayani Longido mkoani Arusha. Kinana...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wana CCM isimamieni serikali

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wana-CCM kutokuwa na woga katika kuisimamia Serikali katika ngazi zote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK ana nia njema lakini dhaifu?

NIMESIKIA mara kadhaa baadhi ya watu wa karibu na Rais Jakaya Kikwete wakisema kwamba; “Hana uwezo wa kusimamia mchakato wa Katiba Mpya.” Miongoni mwao ni Wana CCM ambao hawataki Katiba...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Tanzania ni dhaifu kupambana na mihadarati

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa amesema Serikali imekuwa dhaifu katika kupambana na biashara ya dawa za kulevya hali inayosababisha vijana kuendelea kujiingiza katika uhalifu huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani