Dk. Slaa: JK ni dhaifu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete ni dhaifu ndiyo maana anashindwa kufanya mabadiliko ya mawaziri wabovu ambao sasa wanaitwa ‘mizigo’....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Dk Slaa: Tanzania ni dhaifu kupambana na mihadarati
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Kinana: Serikali ni dhaifu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, amekiri kuwepo kwa udhaifu mkubwa katika utendaji ndani ya serikali. Kinana amesema serikali imekuwa ikisuasua kutatua matatizo yanayowakabili wananchi, ikiwemo migogoro...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Wanaodai serikali ya Tanganyika ni dhaifu
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Livingstone Lusinde amesema mtu yeyote anayedai serikali ya Tanganyika ni dhaifu na mwoga na hilo limedhihirishwa kwa wajumbe wa Ukawa kutoka nje ya Bunge na kwamba nchi hii haidaiwi na watu wanaokimbia.
11 years ago
Habarileo06 Feb
LAAC yasema wanasheria wa halmashauri ni dhaifu
WANASHERIA wa baadhi ya halmashauri za wilaya nchini wamedaiwa kuwa chanzo cha kuzisababishia halmashauri zao kupata hati chafu au zenye mashaka kutokana na mwenendo wao wa uandaaji wa kesi na matumizi yasiyo ya lazima katika kesi hizo.
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Teknolojia dhaifu inakwamisha uzalishaji wa embe
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Fid Q: Video zangu zilikuwa dhaifu
MKALI wa muziki wa hiphop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema amegundua kuwa katika nyimbo zake anazotoa anakuwa na mapungufu upande wa video. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Fid...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Kikwete abebeshwa zigo la mawaziri dhaifu
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
JK ana nia njema lakini dhaifu?
NIMESIKIA mara kadhaa baadhi ya watu wa karibu na Rais Jakaya Kikwete wakisema kwamba; “Hana uwezo wa kusimamia mchakato wa Katiba Mpya.” Miongoni mwao ni Wana CCM ambao hawataki Katiba...
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...