Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaodai serikali ya Tanganyika ni dhaifu

Livingstone LusindeMJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Livingstone Lusinde amesema mtu yeyote anayedai serikali ya Tanganyika ni dhaifu na mwoga na hilo limedhihirishwa kwa wajumbe wa Ukawa kutoka nje ya Bunge na kwamba nchi hii haidaiwi na watu wanaokimbia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana: Serikali ni dhaifu

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana, amekiri kuwepo kwa udhaifu mkubwa katika utendaji ndani ya serikali. Kinana amesema serikali imekuwa ikisuasua kutatua matatizo yanayowakabili wananchi, ikiwemo migogoro...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bunge dhaifu linaweza kuidhibiti serikali yenye nguvu?

KUNA mambo mawili yamenifanya nitafakari tena kuhusu  uhalisia wa kazi za Bunge.  Na kwa uhalisia  nilikuwa naangalia kazi yake kuidhibiti serikali. Hii ni kazi kubwa ya sana na muhimu kwa Bunge. Lakini inaelekea...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali ya Tanganyika yakataliwa


Na Peter Orwa, Dodoma
SERIKALI ya Tanganyika imeendelea kupingwa, ambapo wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba, wamesema haiwezi kuwa na tija kwa Watanzania.
Kamati nyingi zilizoundwa kwa ajili ya kuchambua Rasimu ya Katiba na ambazo zinawasilisha maoni yake bungeni, zimepinga kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika.
Mapendekezo ya kuwepo kwa serikali ya Tanganyika, yamo kwenye Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
UHURU imebaini kuwa tangu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mch. Mtikila: Serikali ya Tanganyika haiepukiki

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewasilisha Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba katika Bunge la Katiba Machi 18, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ya Tanganyika yaibuliwa katika Rasimu ya pili

Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa Rasimu ya Pili ya Katiba ikiwa na mambo sita mpya, huku ikiendelea kupendekeza Muungano wa Serikali tatu na kurejea kwa nchi ya Tanganyika.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Kuna dhambi gani kudai Serikali ya Tanganyika?-2

>Wiki iliyopita nilijadili katika safu hii kuhusu haja ya kuwa na Serikali ya Tangangika.  Ninawashukuru wote walionitumia ujumbe wa simu kuchangia hoja zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa serikali tatu, Tanganyika na Z’bar zitagawana madeni, aonya Makamba

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Yusuf Makamba amesema mfumo wa serikali tatu ukikubalika na kupitishwa kuongoza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,  wajumbe wafahamu kuwa ndani ya miaka miwili Muungano utakuwa umevunjika.

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma wafanya Tamasha la Michezo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana,Utramaduni na Michezo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Michezo na Burudani kuelekea maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Bw. Leonard Thadeo wakwanza kulia akiongoza tamasha la mazoezi ya viungo kwa Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma mapema wikiendi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo ni muendelezo wa program mbalimbali za kuadhimisha Muungano kwa njia ya Mchezo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka

Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani