Tembo wazidi kuteketea
ELIAS MSUYA NA AZIZA MASOUD
WAKATI nusu ya tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wakidaiwa kupukutika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kutokana na ujangili, Serikali ya Tanzania inadaiwa kukalia ripoti ya kupungua kwa tembo nchini.
Taarifa ya kupungua kwa nusu ya tembo katika hifadhi hiyo imetolewa katika sensa ya wanyama hao iliyofanyika kwa miaka miwili kwa kupita juu ya mbuga za wanyama na kuangalia mgawanyiko wa tembo kwa Afrika nzima.
Sensa hiyo ilifadhiliwa na mwanzilishi wa Taasisi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili30 Dec
Tembo wazidi kuuawa Tanzania
11 years ago
Mwananchi05 May
Majangili wazidi kuteketeza tembo Tarangire
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Nyalandu: Majangili wazidi kuua tembo
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini
Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.
Na Rabi Hume
Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...
10 years ago
Habarileo21 Jan
Ushirikina wahusishwa kuteketea kwa bweni
WANAFUNZI wa kike 64 wa shule ya sekondari Mpwapwa hawana mahali pa kuishi baada ya bweni lao kuteketezwa kwa moto unaosadikiwa na wanafunzi ni wa kishirikina.
10 years ago
Bongo Movies28 Jul
Batuli: Naumia Vijana Kuteketea na Dawa za Kulevya
Msanii wa Bongo movie Batuli ameonyesha kuumizwa mno na vijana ambao wanajiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya na kupelekea kuharibu maisha yao pamoja na ndoto zao.
Batuli ameeleza hayo kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii wa Twitter alipokuwa akiwasihi watu kuunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya nchini Tanzania, ili kuokoa maisha ya vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.
Tatizo la dawa za kulevya limekuwa janga kubwa kwa kizazi cha sasa ambapo wahanga wakubwa wa tatizo hili ni...
11 years ago
GPLJENGO LA JMC LILIVYONUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO
10 years ago
Mtanzania16 Jan
Wabunge:Dar hatarini kuteketea kwa moto
SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Nishati na Madini, imeonyesha hofu juu ya Jiji la Dar es Salaam kuteketea kwa moto, kutokana na uwezekano wa kulipuka kwa mabomba ya kusafirishia mafuta kunakochangiwa na wizi wa mafuta unaohusisha utoboaji wa mabomba hayo.
Kutokana na hali hiyo, wabunge wametaka vyombo vya ulinzi, hususan Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wapewe jukumu la kulinda miundombinu ya kusafirishia mafuta, huku baadhi ya...