Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tembo wazidi kuuawa Tanzania

Maujia ya tembo yameongezeka nchini Tanzania tangia serikali ya nchi hiyo kusitisha Opereshieni tokomeza kutokana na kuwepo madai kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Tembo wazidi kuteketea

TemboELIAS MSUYA NA AZIZA MASOUD

WAKATI nusu ya tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wakidaiwa kupukutika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kutokana na ujangili, Serikali ya Tanzania inadaiwa kukalia ripoti ya kupungua kwa tembo nchini.
Taarifa ya kupungua kwa nusu ya tembo katika hifadhi hiyo imetolewa katika sensa ya wanyama hao iliyofanyika kwa miaka miwili kwa kupita juu ya mbuga za wanyama na kuangalia mgawanyiko wa tembo kwa Afrika nzima.
Sensa hiyo ilifadhiliwa na mwanzilishi wa Taasisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Majangili wazidi kuteketeza tembo Tarangire

Tembo wanane katika Hifadhi ya Tarangire mkoani hapa wameuawa katika kipindi cha Novemba 2013 hadi sasa huku meno 17 ya tembo yakikamatwa katika operesheni inayoendelea kufanywa na askari wa hifadhi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu: Majangili wazidi kuua tembo

>Serikali imesisitiza kurejea kwa Operesheni Tokomeza Ujangili, ikitangaza kuwa tembo 13,000 tu ndio waliosalia katika Mbuga za Wanyama za Selous na Mikumi ambapo wanyama hao wamepungua kwa asilimia 66, sababu kubwa ikiwa ni ujangili.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ujangili wazidi kuitesa Tanzania

msigwa1

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa.

Na Mwandishi wetu

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa, amemwaga ushahidi namna ujangili unavyofanyika na kushamiri nchini kwa kufanywa na watu waliogawiwa vitalu halali lakini hawafuati sheria za nchi, hivyo kufanya uwindaji haramu huku serikali ikiwa inalifumbia macho suala hilo.

Akiongea na waandishi wa habari, Jijini Dar es Salaam, Msigwa alionyesha video ya kampuni ya uwindaji ya green miles safaris limited, inayoonekana...

 

9 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA

Na Beatrice Lyimo-MaelezoSERIKALI imesema itaendeleza uhusiano na ushirikiano wake na Jamhuri ya Watu wa China kwa kuimarisha  fursa mbalimbali za kijamii ikiwemo nyanja ya  kiutamaduni. 
Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Oktoba 12, 2015)Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati wa halfa ya uzinduzi wa chaneli mpya ya filamu ya China –Africa Movies itakayoonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha Easy Television kilichopo nchini.
Bw. Mwambene amesema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIA WA BURUNDI WAZIDI KUINGIA TANZANIA

Hali halisi ya eneo la mpakani ambapo raia wanaokimbia kutoka Burundi wamekwama wakisubiri kuvushwa ili kuingia hifadhini nchini Tanzania. Picha na maelezo kwa hisani ya Wavuti

 

11 years ago

BBCSwahili

Meno ya tembo 81 yakamatwa Tanzania

Watu wawili wanashikiliwana polisi nchini Tanzania baada ya kukamatwa na shehena ya meno ya tembo waliyokuwa wakisafirisha kiharamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani