Tendwa: Kikwete ameteleza kusemea msimamo wa CCM bungeni
>Aliyekuwa msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa amesema Rais Jakaya Kikwete aliteleza kueleza msimamo wake na ambao baadaye ulibainika kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati akizindua Bunge Maalumu la Katiba, Machi 21.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Aug
Msimamo mzito Kamati Kuu CCM
Bunge la Katiba mbele kwa mbele, mchakato safiCC yawaengua mawaziri safari za JK nje ya nchiYatoa maagizo mazito kwa mawaziri na wabunge
Na Happiness Mtweve, Dodoma
KAMATI Kuu ya CCM, imewaagiza mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wasiohudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, kuhudhuria mara moja.
Imesema mchango wa mawaziri na wabunge katika Bunge hilo ni muhimu ili kuhakikisha Katiba bora ya wananchi na yenye maoni ya wengi inapatikana.
Kutokana na hilo, imetangaza kupunguza idadi ya...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Mbunge CCM atangaza mapema msimamo
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
CCM Kibaha yaweka hadharani msimamo
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini, kimesema wanachama wake watakaoongoza kura za maoni pasipo mizengwe, watateuliwa kuwania uongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.
Kimesema kitakabiliana na wagombea wote wasiokubali kushindwa, ambao mara nyingi wamekuwa chanzo cha kuendeleza makundi na kuleta matatizo kwenye uchaguzi.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Abdallah Mdimu, alisema hayo juzi kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani alipokuwa akifunga...
10 years ago
Habarileo20 Sep
Katibu mpya wa CCM Arusha aweka msimamo
KATIBU mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Alphonce Kinamhala ameingia ofisini kuanza kwa kazi kwa kukataa majungu.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jUto5ePZgwg/VdCWqAv_PCI/AAAAAAABT_Y/p33FbmhdHaU/s72-c/MMGL9663.jpg)
DKT MAGUFULI APEWA MSIMAMO NA WENYEVITI WA CCM MIKOANI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-jUto5ePZgwg/VdCWqAv_PCI/AAAAAAABT_Y/p33FbmhdHaU/s640/MMGL9663.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Mar
John Komba Mpiga debe wa CCM aliyekuwa na msimamo
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Maaskofu wasamehe lakini wasiache msimamo wa kuishikisha adabu CCM
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
Mama Kikwete awataka vijana kuwa na msimamo na kutokubali kutumika katika vurugu zinazohatarisha amani na usalama wa nchi
Katibu wa Shina la Wakereketwa Zahanati Kempu Ndugu Hidaya Chivi Ali akikabidhi risala ya wanachama wa Shina hilo kwa Mjumbe wa NEC Taifa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka vijana kuwa na msimamo na kutokubali kutumika katika vurugu zinazohatarisha amani na usalama wa nchi.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho...
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Warioba kaa pembeni -Tendwa