Terrence J, David Banner, Chaka Zulu na Ravi wamkosha TID ‘wamenifungua akili’
Hit maker wa Nyota Yako, Khaleed Mohamed aka TID amesema amefunguliwa akili na wadau wa muziki kutoka Marekani, Terrence J, David Banner, Chaka Zulu na Ravi katika mkutano maalumu wa maendeleo ya sanaa na wasanii katika biashara uliofanyika jana (july 14) katika ukumbi wa BOT. TID akizungumza katika mkutano huo Akizungumza na bongo5 leo, TID, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies16 Jul
Jifunze yaliyojiri katika semina iliyoendeshwa na David Banner, Terrence J, Chaka Zulu na Ravi Shelton
July 14, 2014 wasanii na wadau mbalimbali wa sanaa ya muziki na filamu Tanzania waljumuika katika ukumbi wa Bank Kuu ya Taifa (BOT) kuhudhuria seminar kwa lengo la kupata elimu na kushare uzoefu wa biashara ya filamu na muziki kutoka Marekani.
Semina hiyo iliendeshwa na wamarekani David Banner (rapper, producer aliyefanya kazi na wasanii wakubwa Marekani na mshindi wa tuzo ya Grammy), Chaka Zulu( Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa wa label ya DTP ), Terrence J (Muigizaji, mtangazaji wa TV...
11 years ago
Bongo516 Jul
Picha: Terrence J, David Banner, Chaka Zulu waanza kutembelea hifadhi za Taifa
11 years ago
Bongo512 Jul
Video:Terrance J, Chaka Zulu na David Banner watimiza ahadi ya Kikwete, watoa funzo kwa wasanii
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
YVONE CHAKA CHAKA: Mtoto wa kwanza mweusi runingani Afrika Kusini
YVONE Chaka Chaka ni mwimbaji machachari mwenye sauti nyororo inayosindikizwa na haiba usoni mwake. Alizaliwa katika mji wa Dobsonville huko Soweto, nchini Afrika Kusini mwaka 1965, ambaye aliweka rekodi ya...
10 years ago
Bongo505 Mar
Yvonne Chaka Chaka kutumbuiza Kenya mwezi huu
10 years ago
TheCitizen02 Jul
Chaka Chaka: Nyerere was real son of African continent
9 years ago
Bongo525 Sep
Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…
10 years ago
TheCitizen27 Mar
Yvonne Chaka Chaka on song at 50
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray
"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)
Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...