Tetemeko jingine lakumba mji wa Nepal
Kumeripotiwa tetemeko jingine lenye nguvu nchini Nepal siku moja baada ya tetemeko kubwa lililosabaisha vifo vya karibu watu 2000.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Tetemeko la ardhi lakumba Afghanistan
Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.3 limekumba maeneo ya kaskazini mwa Afghanistan, na kuathiri maeneo ya mbali hadi India
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Ongezeko la talaka lakumba mji wa Uturuki
Mji mmoja wa Uturuki uliokaribu na mpaka wa Syria umeshuhudia ongezeko la talaka katika muda wa mwaka mmoja.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Tetemeko la Nepal kabla na baada
Picha zinazoonyesha athari ya tetemeko lililokumba mji wa Kathmandu,Nepal pamoja na viunga vyake
10 years ago
BBCSwahili12 May
Tetemeko lawaua watu 40 Nepal
Wakuu nchini Nepal sasa wamethibitisha kuwa idadi ya watu waliokufa kutokana na tetemeko jingine jipya lililotokea nchini humo, imepanda na kufikia zaidi ya watu 40
10 years ago
BBCSwahili12 May
Tetemeko kubwa latikisa Nepal tena
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa tena Nepal ,takriban majuma mawili tu tangu tetemeko lingine kubwa zaidi kusababisa vifo vya zaidi ya watu 8000.
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Nepal
Tetemeko kubwa la ardhi limekumba eneo lililo magharibi mwa Nepal.
10 years ago
BBCSwahili12 May
Tetemeko jipya Nepal laua watu 40
Tetemeko jipya lililotokea Nepal limeua zaidi ya watu 40.na helkopta ya kikosi cha majini ya Marekani,haijulikani iliko.
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal
Watu zaidi ya 3,600 wameripotiwa kufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Nepal lililoikumba nchi hiyo Jumamosi
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Ni siku 100 tangu tetemeko litokee Nepal
Maelfu ya watu nchini Nepal bado wanaishi katika makao ya muda siku mia moja baada ya tetemeko kubwa kuikumba nchi hiyo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania