Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA yaweka maisha ya watu rehani

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), inadaiwa kuweka rehani maisha ya watumiaji dawa kutokana na kuzima kimya kimya sakata la mmiliki wa duka la dawa baridi la Shine Pharmacy...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasa yaweka rehani maisha ya wananchi

BAADHI ya wakazi wa maeneo ya Jiji la Dar es Salaam wameilalamikia Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (Dawasa) kwa kushindwa kutengeneza mifereji ya majitaka ambayo imeharibika kwa muda mrerefu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JOHN MNYIKA: Hata nikiweka maisha rehani, sitaacha kuisimamia serikali

SI lazima uwe mtu wa makamo ndio uwe kiongozi bora au mwanasiasa. Ukweli katika hilo unathibitika kwa kutazama jinsi baadhi ya vijana wanavyojikita katika siasa na kupata fursa ya kuongoza....

 

11 years ago

Habarileo

Ajali zakatisha maisha ya watu 3

WATU watatu wamekufa katika matukio matatu jijini Dar es Salaam, likiwemo la mtembea kwa miguu Mwalimu Yusuph (50) aliyekufa baada ya kugongwa na pikipiki.

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA MIKUMI WATU 7 WALIPOTEZA MAISHA

 Ajali ya mabasi iliyotokea jana MikumiWatu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 48 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Msanga Line walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Luwinzo katika eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi, wilaya Kilosa, Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 6:45 mchana, baada ya basi la Msanga Line linalosafiri Dar es Salaam kwenda Mahenge, wilayani Ulanga, Morogoro kugongana na basi la Luwinzo lililokuwa linatoka Njombe kwenda Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege yaanguka, watu 11 wapoteza maisha

Watu 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mafuriko Dar: Watu 13 wapoteza maisha

Watu 13 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na mafuriko makubwa mkoani Dar es Salaam, Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya Watu 20 wapoteza maisha Misri

Zaidi ya Watu 20,Mashabiki wa timu ya Zamalek ya nchini Misri wapoteza maisha nje ya Uwanja jijini Cairo

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya Watu 60 wapoteza maisha Nigeria

Zaidi ya Watu 60 wapoteza maisha kutokana na mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa Boko Haram

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani