Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TGFA yataka viongozi kutumia helikopta

WAKALA wa Ndege za Serikali nchini (TGFA) wameomba kupatiwa helikopta, ili kupunguza misafara ya wakuu wa nchi katikati ya jiji la Dar es Salaam ambayo husababisha foleni mara kwa mara...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Magufuli akataa kutumia helikopta

MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema katika sehemu kubwa ya kampeni yake, atatumia zaidi usafiri wa barabara ili apate fursa ya kuzijua kwa karibu kero za wananchi katika maeneo mengi ya nchi.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yataka hospitali binafsi kuacha kutumia vibaya fedha za Mfuko wa Taifa wa Bima za Afya.

Na Magreth Kinabo- MAELEZO
Serikali imepiga marufuku tabia ya baadhi ya hospitali au taasisi binafsi za afya kuwapima wagonjwa wanaotoka hospitali za Serikali vipimo ambavyo hawakuagizwa kuvipima na madaktari kutoka hospitali hizo kwani kufanya hivyo ni kuiongezea Serikali gharama  zisizo la lazima.
Tamko hilo limetolewa na Naibu  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi  Kigwangala wakati alipofanya ziara ya kutembelea leo kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean...

 

10 years ago

StarTV

Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.

Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tizeba aongea na Wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA)

DSC_0696

Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba, akifafanua jambo wakati akiongea na Menejimenti na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (Tgfa), alipokutana nao hivi karibuni. Naibu Waziri Tizeba aliwapongeza wafanyakazi hao kwa kazi nzuri wanayoifanya kwa kuwahudumia vyema Viongozi mbalimbali wa Kitaifa.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi).

DSC_0692

Mkurugenzi wa Idara ya Uhandisi katika Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA), Mhandisi Julius Shaba,...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Kwanini baadhi ya viongozi wa kidini Washington wamekasirishwa na Trump kutumia Biblia?

Siku chache baada ya Rais Trump kuonekana amesimama mbele ya kanisa la St John Episcopal akiwa ameshikilia bibilia, zaidi ya viongozi 20 wa makanisa kutoka Washington na maeneo yaliyo karibu wamepinga kile alichokifanya.

 

10 years ago

Vijimambo

SHEIKH SHARIFU MSOPA ATOA OFA YA MAOMBI KWA VIONGOZI NA WANANCHI KUTUMIA MAFUTA MAALUMU TOKA GUBA YA UAJEMI KUWAPAKA

 Sheikh Sharifu Msopa akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu.  Sheikh Sharifu Msopa (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu. Kshoto ni Sheikh Maulana Salim. Sheikh Maulana Salim (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali na bloggers wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakichukua...

 

9 years ago

Michuzi

SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

 

10 years ago

Mwananchi

Helikopta za Polisi zaibua mapya

>Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema kukosekana helikopta (Chopa) ya Jeshi la Polisi Zanzibar siyo kuidhalilisha Zanzibar katika mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bali ni utaratibu wa kiutendaji kwa vyombo hivyo  vya ulinzi na usalama.

 

9 years ago

Habarileo

Helikopta iliyomuua Filikunjombe ni ya Kalonzo

HELIKOPTA iliyoanguka na kusababisha vifo vya watu wanne akiwamo mgombea ubunge wa jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe na rubani wake, Kapteni William Silaa, ilikuwa mali ya Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani