Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TGNP wapinga sharti la elimu ubunge

WANAHARAKATI wa masuala ya jamii na washiriki wa mafunzo ya jinsia na maendeleo yanayoratibiwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), wametaka rasimu mpya ibadilishe sifa ya ubunge kuwa kidato cha nne badala ya kujua kusoma na kuandika pekee.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TGNP wapinga Rasimu kutoweka kipengele cha kumwajibisha Rais

IMG_0008

Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari jana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto).

Na Mwandishi wetu

WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS), linaloratibiwa na mtandao wa kijinsia...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinga Kawambwa kubakizwa elimu

Baadhi ya wadau wa elimu wamesema kubakizwa kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na kumwondoa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo hakuwezi kuleta mabadiliko yoyote kwani Waziri ndiye msimamizi mkuu wa sera.

 

9 years ago

StarTV

BAWACHA Kigoma wapinga majina yaliyoteuliwa Ubunge viti maalumu

 

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Kigoma mjini wamelalamikia hatua ya kuondolewa kwa Merry Martin katika majina yaliyoteuliwa na Baraza hilo kuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa kigoma wakidai kuwepo maslahi ya watu wachache.

Wajumbe hao wamewatuhumu baadhi ya watendaji wa chama hicho ngazi ya Taifa kupindisha maamuzi ya BAWACHA kwa kuwasilisha mbele ya Tume ya Taifa ya uchaguzi jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kigoma...

 

11 years ago

Mwananchi

ELIMU: Wadau wapinga bei elekezi ada za vyuo

>Wakati Serikali ikiendelea kutafuta ‘mwarobaini’ wa kushuka kwa elimu, wadau mbalimbali wameitaka kuachana na mpango wa kupanga bei elekezi kwenye ada za shule na vyuo nchini kwa kuwa hilo siyo suluhisho.

 

10 years ago

Habarileo

Bunge la Katiba laelezwa elimu isiwe sifa ya ubunge

Livingstone LusindeMBUNGE wa Mtera Livingstone Lusinde ametetea hoja za wabunge wanaotaka sifa ya kugombea ubunge iwe kujua kusoma na kuandika, kwa maelezo kuwa asilimia kubwa ya wananchi wengi wa Tanzania hawakupata elimu ya sekondari hivyo katiba haifai kuwabagua.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mataifa ya Ulaya sharti yawapokee wahamiaji

Rais wa tume ya Ulaya Jean Claude Juncker, alizitaka nchi za muungano wa ulaya kuwapa makao wakimbizi 160,000

 

11 years ago

BBCSwahili

Wabunge sharti waitwe 'Waheshimiwa' Kenya

Wakenya wanakabiliwa na tisho la kufungwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni mbili au dola 23,000 kwa kukosa kumuita mbunge 'mheshimiwa' unapozungumza naye.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji sharti waongee kijerumani nyumbani

Wahamiaji wanaokimbilia Ujerumani wanashurutishwa kuzungumza kijurumani sio tu katika maeneo ya umma bali pia katika nyumba zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

US:Sudan Kusini sharti ihakiki Makubaliano

Marekani yaonya kuwa itachukua hatua kali dhidi ya pande zote

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani