Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Lonely Planet yaitaja Afrika Mashariki kama sehemu bora ya kuitembelea mwaka 2016

Jarida la masuala ya usafiri na utalii duniani, The Lonely Planet limetoa orodha ya ‘Best in Travel 2016.’ Orodha hiyo inajumuisha maeneo ya kuvutia ambayo watu wanapaswa kuyatembelea mwakani. Jarida hilo limeijumuisha Afrika Mashariki kwenye orodha ya ‘Top 10 Best Value Destinations.’ Afrika Mashariki imetajwa kuwa ni eneo lenye mandhari asili ya kuvutia, wanyama na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI NDELAKINDO KESSY AWAKUMBUKA WATOTO KATIKA KUUANZA MWAKA 2016.


Mkurugenzi wa Mambo ya nje wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki,Ndelakindo Kessy akizungumzia utaratibu ambao chama hicho umeuanzisha wa kusaidia watoto waishio katika mazingira magumu katika jimbo la Vunjo.Baadhi ya watoto kutoka kata 16 za jimboo la Vunjo walioandaliwa sherehe ya kuukarbisha mwaka mpya wa 2016 na Chama cha NCCR-Mageuzi katika jimbo la Vunjo. Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha NCR-Mageuzi,Corona Kundi akizungumza na watoto.
PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ashinda ya tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka Afrika Mashariki, ‘Yahaya’ kwenye Bingwa Music Awards -Kenya

Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Lady Jaydee ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki. Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo: Artist of the Year – Kenrazy Showbiz Personality of the Year – […]

 

9 years ago

Bongo5

Don Jazzy atangaza kustaafu muziki mwaka 2016 kama msanii

don jazzy

Don Jazzy, producer na muimbaji kutoka Nigeria amesema kuwa mwaka 2016 ana mpango wa kuacha kuimba na kubaki kuwa producer.

don jazzy

Don Jazzy ambaye ni boss wa Mavin Records yenye wasanii kama Tiwa Savage, ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter.

This artist work no easy jare. 2016 I'm retiring my artist side jor. 🙏🏽#OneLagosFiesta for now sha.

— DON JAZZY (@DONJAZZY) December 27, 2015

Aliendelea kuthibitisha alichokimaanisha kama kweli anaacha kuimba baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama yuko serious,...

 

10 years ago

Bongo5

Korea Kaskazini yaishutumu US kusambaza Ebola na kutumia Afrika kama sehemu ya kujaribia silaha hiyo ya Kibailojia

Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani. Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yake kuzuia watalii ikiwa ni pamoja na kumtenga kila anayeingia. Ripoti ya Korean Central News Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti: Rwanda inaongoza kwa utawala bora Afrika Mashariki

Rwanda inaongoza kwa utawala bora katika eneo la Afrika Mashariki, kwa mujibu wa ripoti mpya kuhusu utawala barani Afrika.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za...

 

9 years ago

StarTV

Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.

Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.

 

Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani