THT yatoa vitabu kwa maktaba ya walemavu wa ngozi Kanda ya Ziwa
Mlezi wa Umoja wa Wake wa Viongozi Tanzania, Mama Tunu Pinda, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea msaada wa vitabu kutoka Tanzania House of Talent. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Umoja huo, Mama Germina Lukuvi na kulia kwake ni Meneja Mkuu wa Tanzania House of Talent, Mwita Mwaikenda.
Mwakilishi wa Kampuni ya Opportunity Education akikabidhi vitabu kwa Mama Tunu Pinda.
Nyumba ya vipaji Tanzania (THT) imetoa vitabu vya Sayansi, Sanaa na Hesabu kwa maktaba ya walemavu wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA MSAADA KWA WALEMAVU WA NGOZI
11 years ago
GPLGLOBAL YATOA MEZA KWA WAUZA MAGAZETI KANDA YA ZIWA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2CwsJZmRutw/U14u_xkj8_I/AAAAAAAFdr8/CjIOWKF9nqk/s72-c/unnamed+(15).jpg)
JK akabidhi vitabu kwa maktaba Jeshini
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E1EqQy7cQq0/U9WV8I_iV2I/AAAAAAAF7Oc/Bjxftyzd8DM/s72-c/y22.jpg)
Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-E1EqQy7cQq0/U9WV8I_iV2I/AAAAAAAF7Oc/Bjxftyzd8DM/s1600/y22.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0SC_TbJOKQw/U9WWmghDJaI/AAAAAAAF7Oo/vH71cdk9z1g/s1600/y23.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ESRMivi2o1g/U9WWyL0HxGI/AAAAAAAF7O0/j73_sC9pSB0/s1600/y24.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vsFdRJ2ADJY/U9WWxUS99pI/AAAAAAAF7Ow/Oqbl3IBXVaQ/s1600/y25.jpg)
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Tigo yachangisha fedha kwa ajili ya makundi ya wasiojiweza kanda ya ziwa
![i82 (1)](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/i82-1.jpg)
![shangwe.](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/shangwe..jpg)
![audience (1)](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/audience-1.jpg)
![david twininge akiburudisha (1)](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/david-twininge-akiburudisha-1.jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Apr
KAMPENI: Chadema wasafiri kwa chopa kusaka majimbo Kanda ya Ziwa
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-T_rYZBAA6eI/U9WSTZmFuBI/AAAAAAAF7M0/ML_-FfbosII/s1600/y1.jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog13 May
Tigo yazindua usajiri wa kuzaliwa kupitia simu za mkononi kwa kanda ya Ziwa
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu(kushoto)akionyesha moja kati ya simu 350 zilizotolewa na Kampuni ya Tigo kwa ajili ya mkakati wa usajili wa watoto waliozaliwa wenye umri chini ya miaka mitano kwa njia ya simu kwa kutumia mtandao wa Tigo,wakati wa uzinduzi uliofanyika Mkoani Mwanza jana, kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya,Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usajili,ufilisi na udhamini(RITA) Emmy...
9 years ago
MichuziSEMINA YA TAMWA KWA WANAHABARI KANDA YA ZIWA YABAINI WAGOMBEA WANAWAKE KUSAHAULIKA.
Katika Semina hiyo, imebainika kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu, Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari hawajaweka kipaumbele katika...