Timu ya Kenya yakwama kwa sababu ya hela
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imekwama uwanja wa ndege wa Wilson kufuatia mzozo kuhusu marupurupu na malipo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 May
Yanga safi kwa Mzimbabwe, Simba yakwama kwa Mavugo
![](http://api.ning.com/files/5wu8U2MaqbiIzZtKrnNmE56xoZWtOlqiPAp30XO*4RBtcLoLMfKi-NaTZ0C5Gdigaq8AnGbMpWzXYoff4gnpmYLFJDAN*bl8/donaldngoma.jpg)
Dinaldo Ngoma, FC Platinum ya Zimbambwe.
Nicodemus Jonas na Hans MloliMBIO za usajili zinazidi kukolea, Yanga imemalizana na Dinaldo Ngoma wa FC Platinum ya Zimbambwe, wakati upande wa pili wapinzani wao, Simba wanaweza kukwama kumnasa straika Mrundi, Laudit Mavugo kutokana na Klabu ya Vital’O kuonekana kuweka ngumu.Yanga wameeleza kuwa wamemalizana na mchezaji huyo lakini wanachosubiri ni tamko la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kuongeza idadi ya wachezaji wa kimataifa.Katibu Mkuu...
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Stars yakwama kwa Mambas
Timu ya soka ya taifa ‘Taifa Stars’, imeshindwa kutamba nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Msumbiji ‘Mambas’, katika mchezo wa jana wa kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) mwakani.
11 years ago
MichuziTimu ya Jamhiri ilivyoigaragaza timu ya Polisi Zanzibar kwa bao 1-0
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Lf1B3Uv2G4viDjmgSqiKKkc2ebDuvWef0rwB5WMehXf1RTPFk4V-vThRr2Ka-nmkPrgp1vvhiiKxTEesth5st6kTwrlVQtZ8/mastaacopy.jpg?width=650)
MASTAA WAFUNGUKA KUPIGA HELA KUTOKA KWA WAGOMBEA!
Gabriel Ng’osha Neema! Baadhi ya mastaa wa tasnia mbalimbali Bongo, wamefunguka kuwa kipindi hiki cha uchaguzi, kwao ni msimu wa kutengeneza hela kutoka kwa wagombea kama watahitaji huduma yao ya burudani. Mheshimiwa Bernard Membe. Kwa mujibu wa baadhi ya wasanii, wao wapo au watakuwa tayari kuwapigia kampeni wagombea hao ilimradi tu wanavuta mshiko wa maana. KULWA KIKUMBA ‘DUDE’: Huu ndiyo msimu wa kulamba...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Magari yakwama Kitonga kwa saa 10
Magari ya abiria na mizigo juzi yalikwama kwa zaidi ya saa 10 katika Mlima Kitonga mkoani Iringa, baada ya magari mawili ya mizigo kuharibika na kuziba njia.
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Sababu za Al-Shabaab kuishambulia Kenya
Eneo la Afrika Mashariki liko katika taharuki kubwa kutokana na tetesi za kuwepo uwezekano wa kufanyika mashambulizi zaidi kutoka kwa kundi la Al Shabaab ambalo tayari limeleta maafa makubwa kwa wananchi wa Kenya.Â
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Ajali yaua, magari yakwama kwa saa tatu Dar- Moro
 Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Bwawani Barabara ya Chalinze - Morogoro.
10 years ago
BBCSwahili05 May
Timu ya Kenya ya Raga yawasili UK
Timu ya Kenya ya raga ya wachezaji 7 maarufu Shujaa, imewasili Glasgow nchini Uingereza huku ikijiandaa kwa michuano ya sevens
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Timu ya soka ya Kenya kwenda Brazil
Sio kushiriki mechi yoyote bali kutazama michuano ya kombe la dunia. Ni zawadi waliyopokea kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania