Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TONI KROOS KUTUA MAN U KWA PAUNI MIL 20

Toni Kroos. MANCHESTER UNITED imekubali kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Toni Kroos kwa pauni milioni 20 sawa na bilioni 55.8 za Tanzania. Arjen Robben. Mchakato wa kumnasa kiungo huyo mwenye miaka 24 ulianzishwa na kocha aliyetimuliwa baada ya kuboronga, David Moyes na sasa umepewa baraka na kocha mpya Louis van Gaal. Timu hiyo kwa sasa inajipanga kumnasa mshambulaji hatari wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Toni Kroos atua Real Madrid

Kiungo wa Bayern Munich, Toni Kroos amethibitisha kuwa yuko njiani kujiunga na miamba ya Real Madrid katika kipindi hiki cha usajili na tayari amesaini mkataba wa miaka sita.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasanii wanunua stika kwa pauni ya England

>Tasnia ya sanaa imeendelea kuandamwa na changamoto nyingi ikiwamo wasanii kununua stika za kazi zao kwa pauni ya Uingereza badala ya shilingi ya Tanzania.

 

10 years ago

GPL

PETR CECH ASAJILIWA ARSENAL KWA PAUNI 11

Petr Cech akionyesha jezi ya Arsenal baada  ya uhamisho wa pauni 11 na mshahara wake unatajwa kuwa ni pauni 100,000 kwa wiki. Akiwa katika mapozi.…

 

11 years ago

GPL

FABREGAS ATUA CHELSEA KWA PAUNI MILIONI 30

KIUNGO wa Barcelona na Hispania, Cesc Fabregas amejiunga na Klabu ya Chelsea kwa pauni milioni 30 kwa mkataba wa miaka mitano. Fabregas atavaa jezi namba nne kama aliyokuwa akivaa Arsenal na Barcelona. Kiungo huyo ameishukuru Barcelona ambapo amekaa miaka mitatu kwa furaha. "Ilikuwa timu yangu ya utotoni na nitajivunia kila mara kupata nafasi ya kuchezea timu hiyo kubwa" "Nahisi bado sijamaliza kazi katika Premier League na kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Rooney kulipwa pauni 300,000 kwa wiki

Katika mkataba huo wa miaka mitano aliosaini mshambuliaji huyo wa England atakuwa akichukua kiasi cha pauni 300,000 kwa wiki ambako kwa mwaka ataweka kibindoni pauni 15.6 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Messi ataka Pauni 600 kwa wiki England

Lionel Messi anataka kitita cha Pauni 600,000 kwa wiki kwa timu ambayo itataka kumsajili acheze katika Ligi Kuu England.

 

11 years ago

Bongo5

Hatimaye Luis Suarez atua Barcelona kwa pauni milioni 75

Klabu ya soka ya Liverpool imekubali kumuuza mshambulizi wake Luis Suarez kwa Barcelona kwa pauni milioni 75. Mchezaji huyo wa Uruguay ,ambaye amepigwa marufuku ya kutocheza mpira miezi miinne baada ya kukutwa na hatia ya kumng’ata begani mchezaji mwenzake wa Italy, Giorgio Chiellini wakati wa mechi yao katika kombe la dunia anatarajia kusafiri kwenda Barcelona […]

 

10 years ago

GPL

MANCHESTER UNITED WATENGA PAUNI MILIONI 100 KWA DI MARIA

Angel Di Maria. KLABU ya Manchester United imetenga kitita cha pauni milioni 100 kwa ajili ya usajili na mshahara wa winga wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Argentina, Angel Di Maria. Daley Blind. Pauni milioni 50 zinatarajiwa kutumika kumsajili staa huyo wa Real Madrid huku mshahara wake kwa wiki ukitarajiwa kuwa pauni 200,000. Kocha wa United, Louis van Gaal amemtaka Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Ed Woodward… ...

 

11 years ago

GPL

SANCHEZ ATUA ARSENAL, KULAMBA PAUNI 140,000 KWA WIKI

Nyota mpya wa Arsenal, Alexis Sanchez akiwa ndani ya 'uzi' mpya. MSHAMBULIAJI mahiri wa Chile na Barcelona, Alexis Sanchez, amejiunga na Klabu ya Arsenal kwa pauni milioni 30 na mkataba wa miaka miaka minne. Alexis Sanchez atakuwa Arsenal kwa miaka minne. Akiwa klabuni hapo, nyota huyo atalipwa pauni 140,000 kwa wiki sawa na Mesut Ozil aliyekuwa analipwa kiasi hicho kikubwa kuliko wote ndani ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani