Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPA wavuka malengo BRN

>Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imefanikiwa kuvuka malengo ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa kuhudumia  zaidi ya tani milioni 13  katika kipindi cha mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Njombe DC wavuka tena malengo ya makusanyo ya mapato

Na Amiri kilagalila,NjombeHalmashauri ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KUFIKIA MALENGO YA BRN NECTA yazindua vitabu vya uchambuzi wa ufaulu

AGOSTI 15 2013 Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilizindua mpango wake wa utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa(BRN) katika sekta ya elimu. Uzinduzi huo uliofanywa na Waziri...

 

10 years ago

Habarileo

Arusha wavuka lengo uandikishaji BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku mbili za uandikishwaji katika Halmashauri ya Jiji la Arusha na kulazimika kazi hiyo kumalizika jana badala ya kuisha Julai 16 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji BVR Dar wavuka lengo

LICHA ya kuanza kwa kusuasua, kazi ya uandikishaji wapigakura katika mfumo wa kielektroniki wa BVR katika Jiji la Dar es Salaam, imepata mafanikio na kuvuka lengo la uandikishaji lililokuwa limewekwa.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji kwa mfumo wa BVR wavuka lengo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia mfumo mpya wa Biometric Voters Registration (BVR) umezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ukitajwa kuanza kwa mafanikio makubwa kutokana na idadi iliyojitokeza kuanzia juzi.

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA UMEME RUFIJI WAVUKA MATARAJIO, WAFIKIA ASILIMIA 11, KUKAMILIKA JUNI MWAKA 2022

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiMradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (Rufiji Hydropower Project (RHPP) umetajwa kuzidi asilimia 11 mpaka sasa na unatarajiwa kukamilika kwa wakati uliopangwa ifikapo June 2022.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka wakati wa utoaji taarifa za Mradi huo kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wanaotembelea miradi ya maendeleo hapa nchini inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hatimaye vijana wanaosafiri kwa Baiskeli Kutoka Mbeya kuelekea Dar wavuka salama Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar.

Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeli maeneo ya Chimala.

Tarehe 17.06.2015 waliwasili Iringa na kulala hapo kisha asubuhi kuonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa.

Vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika...

 

9 years ago

Bongo5

Davido, wizkid na AKA wavuka mchujo wa kwanza kwenye kipengele cha ‘Best African Act’ tuzo za MOBO 2015

Mwanzoni mwa mwezi Octoba yalitangazwa majina ya wanamuziki wanaowania tuzo za ‘Music Of Black Origin’(MOBO) 2015 za Uingereza. Katika tuzo hizo kipo kipengele kimoja cha wasanii wa Afrika ‘Best African Act’ ambacho kwenye hatua ya mwanzo kilikuwa na nominees 10. Baada ya wiki moja majina hayo yalichujwa kutoka 10 na kubaki watano ambao ndio watakaochuana […]

 

10 years ago

Vijimambo

HATIMAYE VIJANA WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM WAVUKA SALAMA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI.

 Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar. Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeri Maeneo ya Chimala Tarehe 17.06.2015 wanawasili Iringa na kulala Hapo kisha asubuhi wanaonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa
 vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika Daftari la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani