TPSC na harakati ya kujipanua
UAMUZI wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wa kuendelea kufungua matawi yake katika mikoa mbalimbali umepongezwa na serikali kwa kuwa utaongeza wigo na fursa kwa wananchi kujifunza taaluma...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
TPSC Tanga chachu ya ukuaji wa uchumi
“MAFUNZO haya ni muhimu sana kwa viongozi wetu katika kuhakikisha wanasimamia fedha za walipa kodi ipasavyo.” Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi...
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
TPSC yajitosa kutekeleza BRN kwa vitendo
ILI kuhakikisha wananchi wanahudumiwa vizuri, serikali ilianzisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao taasisi mbalimbali za umma zinapaswa kuutekeleza na hatimaye wananchi wapate huduma zinazokidhi matarajio yao. Wizara na...
10 years ago
MichuziTPSC yazindua jengo jipya jijini Mbeya
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Kombani apongeza TPSC kwa kutoa wahitimu bora
HIVI karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, alikipongeza Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa kutoa wahitimu bora. Kombani alitoa pongezi...
10 years ago
Michuzi28 Mar
WANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA(TPSC) TAWI LATANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO PSPTB
Ziara hiyo ya mafunzo ililenga kujua kazi mbalimbali za Bodi ya wataalam wa ununuzi na Ugavi (PSPTB). Mkurugenzi mkuu Mtendaji wa PSPTB Dr Clemence Tesha, aliupokea ugeni huo, na kuwashukuru kwa kuona nia ya kufanya ziara ya mafunzo. Aidha aliwaelezea umuhimu...
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) tawi la Tanga wafanya ziara ya mafunzo PSPTB
Wageni wakiwasili kwenye ofisi za Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSPTB, Dr Tesha akitoa hutuba ya ufunguzi kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa pili wa stashahada ya Ununuzi na Ugavi kutoka chuo cha TPSC Utumishi wa Umma tawi la Tanga.
Wanachuo wakimsiliza Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Bodi Dr. Tesha.
Mkurugenzi ya Mafunzo, Bw. Godfred Mbanyi akielezea juu ya madaraja ya mitihani ya Bodi na taratibu za kufanya mitihani.
Bw. Ally Songoro kutoka...
5 years ago
Michuzi
DKT. MWANJELWA AIPONGEZA TPSC KUUNDA VIKOSI KAZI DHIDI YA CORONA ILI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPOKEA WANAFUNZI JUNI MOSI, 2020

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Kampasi ya Singida (hawapo pichani) mara baada ya kupokea taarifa ya Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo hicho kuhusu Mkakati wa Uendeshaji Mafunzo kwa Kuzingatia Tahadhari Dhidi ya Maambukizi ya Corona, utakaoanza kutekelezwa na Chuo hicho pindi kitakapofunguliwa tarehe 01/06/2020.

5 years ago
CCM Blog
DKT. MWANJELWA AIPONGEZA TPSC KUUNDA VIKOSI KAZI DHIDI YA CORONA ILI KUTEKELEZA AGIZO LA KUPOKEA WANAFUNZI JUNI MOSI , 2020

10 years ago
Mwananchi16 Nov
Harakati za Kiswahili EAC