TPSF yataka urasimu katika ardhi kuondolewa
TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imeshauri Serikali kuboresha mazingira ya usimamizi wa ardhi na utoaji wa vibali vya ujenzi kuepuka urasimu unaorudisha nyuma juhudi za kuvutia uwekezaji. Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye alisema hayo jana wakati wa warsha ya kujadili ripoti ya Mshauri Mwelekezi kuhusu uboreshaji utoaji wa vibali vya ujenzi nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
TPSF: Urasimu utoaji vibali vya ujenzi kikwazo cha maendeleo
TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), imesema Tanzania haiwezi kuendelea kukwamishwa na urasimu wa utoaji wa vibali vya ujenzi ambavyo vinarudisha nyuma juhudi za kujenga mazingira bora ya kufanya biashara...
10 years ago
Mtanzania21 Apr
TPSF yataka mageuzi ya viwanda
Na Christina Gauluhanga, Dar es Salaam
SERIKALI imetakiwa kuharakisha mageuzi ya viwanda ili kukuza soko la biashara nchini na kuongeza pato la taifa.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti Mtendaji wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfrey Simbeye, alisema maboresho ya viwanda yatasaidia bidhaa nyingi kununuliwa nchini.
Alisema kasi ya uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi imeongezeka ambapo mwaka huu zimefikia dola za Marekani bilioni 5 ikilinganishwa na mwaka jana ambapo...
11 years ago
Habarileo30 Jun
TPSF yataka kauli sera kuboresha uchumi
IMEELEZWA kuwa mchango mkubwa wa kisera katika uchumi unaofanywa na sekta binafsi unastahili kukuzwa kwa manufaa ya sekta na taifa kwa ujumla.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qkAsdO85el8/XpCs1YO4FrI/AAAAAAALmuw/KL-bY-WtR8U8_-D9_rHXM3Bvs6wr8VDZwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-19.jpg)
WATENDAJI SEKTA YA ARDHI OFISI ZA MIKOA WATAKIWA KUEPUKA URASIMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-qkAsdO85el8/XpCs1YO4FrI/AAAAAAALmuw/KL-bY-WtR8U8_-D9_rHXM3Bvs6wr8VDZwCLcBGAsYHQ/s640/1-19.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa watendaji wa sekta ya Ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma jana.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2-13.jpg)
Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Nhonge akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Watendaji wa sekta ya ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
LHRC yataka Katiba ije na Sheria ya Ardhi
10 years ago
Mwananchi13 Sep
JK: Serikali kuondoa urasimu katika kodi za biashara
5 years ago
CCM BlogTAASISI ZA KIFEDHA NCHINI ZATAKIWA KUACHA URASIMU KATIKA MIKOPO
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Ali Idd wilayani, Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kwanza baada ya kutembelea na kukagua eneo la ujenzi wa viwanda vitatu katika eneo la chapulwa vinavyojengwa na KOM GROUP...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Ujumbe wizara ya ardhi wafurahia utendaji wa Nchi ya Singapore namna ya utawala bora katika ardhi
Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya.
Ujumbe wa NHC...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Waandamana kupinga kuondolewa katika eneo lao
WANANCHI zaidi ya 13,000 wa vijiji vitano wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameandamana kupinga kuondolewa katika eneo lao ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) unaosimamiwa...