Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRACY MORGAN ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

Tracy Morgan. STAA wa vichekesho nchini Marekani, Tracy Morgan, ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kukaa wiki tano tangu alipopata ajali iliyomuua mwenzake Jimmy Mack. Morgan alivunjika mguu na mbavu baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongwa kwa nyuma huko New Jersey, Marekani Juni 7 mwaka huu. Katika ajali hiyo, mchekeshaji James McNair, maarufu kwa jina la Jimmy Mack alifariki dunia huku mchekeshaji Ardley Fuqua na abiria...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SUGE KNIGHT ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

Prodyuza Suge Knight wakati akiwasili katika klabu ya usiku ya 1Oak ambapo baadaye alishambuliwa kwa kuigwa risasi 6. PRODYUZA Suge Knight ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Cedars-Sinai, Los Angeles nchini Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika klabu ya usiku ya 1Oak kwenye pati ya utangulizi wa utoaji Tuzo za VMA Jumamosi usiku. Mmoja wa majeruhi katika shambulio hilo akipatiwa huduma ya… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Shabiki aruhusiwa kutazama filamu mapema

Shabiki sugu wa filamu za Star Wars, ambaye anaugua saratani, amepewa fursa ya kutazama filamu mpya ya msururu huo wa filamu kwa jina The Force Awakens wiki sita mapema.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mansour aruhusiwa kwenda India, Ujerumani

MAHAKAMA ya Mkoa,Vuga imetoa ruhusa ya kwenda nje ya nchi  kwa aliyekuwa  Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mansour Yusuf Himidi, baada ya kuridhika na vielelezo alivyotakiwa aviwasilishe. Akisoma uamuzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfungwa aruhusiwa kuoa nchini Marekani

Charles Manson, mfungwa muuaji mwenye umri wa miaka 80, ameruhusiwa kuoana na mwanamke mwenye umri wa miaka 26.

 

11 years ago

GPL

USHUHUDA WA KUTISHA KUTOKA HOSPITALI YA SERIKALI

Siku za hivi karibuni niliwahi kumuuguza rafiki yangu wakati akitibiwa katika hospitali ya serikali. Nilichoshuhudia huko kinasikitisha na kustaajabisha sana. Kimenipelekea niamini kwamba hospitali za umma ni makaburi ya kuzikia roho za watanzania wasiokuwa na hatia. Huyu jamaa yangu alikuwa hospitalized kwa ajili ya tatizo la kutapika na kuharisha damu. Alifikishwa hospitalini hapo takribani saa 2:00 za asubuhi lakini kutokana...

 

11 years ago

Michuzi

Live interview with Brian Tracy!

The highly anticipated High Performance Leadership seminar is almost here! Tune in to Choice In The Morning on Choice FM and Jahazi on Clouds FM tomorrow to hear Brian Tracy speak LIVE on air speaking about his seminar. Witness the powerful transformation message by Brian Tracy and Azim Jamal live in Dar Es Salaam High Performance Leadership seminar | 13th June 2014| Julius Nyerere International Convention Centre

 

9 years ago

MillardAyo

Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan..

Agizo la Rais Magufuli la kupatikana kwa mashine mpya ya CT Scan katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili limeonekana kuzaa matunda baada ya Serikali kununua mashine mpya ambayo imegharimu dola za Kimarekani milioni 1.7. Kutokana na mashine ya awali kuharibika kila wakati Serikali imegharamia mashine mpya ambayo imeelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi […]

The post Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali ya Apollo yafanikiwa kutenganisha mapacha kutoka Tanzania walioungana

Picture1-swahili

Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.

Mapacha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani