TREKTA LINAKODISHWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-FLXR3IlLNO0/Vbx3LhbkgWI/AAAAAAAHs_A/h68R0MeIcxY/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
"Kwa wale wakulima wenye ekari za kutosha maeneo kuanzia Mkuranga, Mwarusembe, Kimanzichana ya Mkiu, Mkamba nk hadi maeneo ya Ikwiriri na Rufiji.... mkombozi kapatikana sasa. Ile hofu ya kulima kwa muda muafaka imepata jawabu!!Tumeleta trekta linalofaa kupambana kwa kazi maeneo hayo, hili FORD 7500.Bei zetu ni nzuri zipo baina ya Tshs. 40,000/= hadi 60,000/= kulingana na umbali.
Kwa mawasiliano:1. 0787519910 na 0767519910... Tutakujibu kwa simu na sms!!2. Kwa 0787519910 tutakujibu kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZvpLMAznC40/U4u5XMJv4eI/AAAAAAAFnDQ/eYv55PMVFa8/s72-c/unnamed+(39).jpg)
trekta linauzwa
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZvpLMAznC40/U4u5XMJv4eI/AAAAAAAFnDQ/eYv55PMVFa8/s1600/unnamed+(39).jpg)
10 years ago
VijimamboTangazo la biashara ya kukodisha trekta
11 years ago
Habarileo26 Dec
Vijana Muleba wakabidhiwa trekta la mil. 43/-
HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba imenunua trekta lenye thamani ya Sh mil.43 na kulikabidhi kwa vijana wa wilaya hiyo. Trekta hilo litatumika kuanzisha mashamba ya kilimo cha mazao mbalimbali ili kujiajiri na kuacha utegemezi.
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Trekta lagonga bodaboda laua wawili.
WATU wawili wamekufa kwa kugongwa na trekta katika kijiji cha Mtakata kata ya Magamba wilayani Mlele mkoani Katavi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Kamishina mwandamizi msaidizi Dhahiri Kidavashari...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Wajawazito Chalinze watumia trekta kwenda hospitali
WANAWAKE katika Kitongoji cha Makupani, Kijiji cha Saadani chumvi, wanalazimika kusafiri umbali wa kilomita 12 kwa kutumia trekta kufuata huduma ya kujifungua hospitalini. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni za mgombea...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vJ6OK3r_us8/VEzYZrc3W5I/AAAAAAACtjY/r8YlG-gj2r8/s72-c/PG4A68321.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA TREKTA POLAND
![](http://2.bp.blogspot.com/-vJ6OK3r_us8/VEzYZrc3W5I/AAAAAAACtjY/r8YlG-gj2r8/s1600/PG4A68321.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania.
Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, mbegu bora, na dawa za mifugo ili waweze kuongeza ushalishaji.
“Kutokana na mkopo wa Serikali ya India, tulipata matrekta 1,846 ambayo hayakuchukua muda kuisha. Sasa hivi tunatafuta wabia wengine wa kutupatia...
11 years ago
MichuziDADPS RUANGWA YATOA TREKTA KWA KIJIJI KATIKA KUENDELEZA KILIMO
Akisaini mikataba ya makabidhiano ya Trekta lililonunuliwa kupitia
miradi ya DADPS huku Mwenyekiti wa kijiji cha Kilimahewa,Bw Ally Seif
Malongola akisubiri kusaini mkataba huo,
Mohamed akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi kabla ya kukabidhiwa kwa
Trekta ,Kutoka kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Ruangwa,Silvanus
Kilowoko...