Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRUMP ASEMA MAREKANI KUWA NA WAGONJWA WENGI NI HESHIMA

Trump at a cabinet meetingHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESRais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani.''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani.Marekani ina watu milioni 1.5 walioathiriwa na virusi vya corona na karibu vifo 92,000, kwa mujibu wa takwimu zinazokusanywa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins. Nchi inayoshika nafasi ya pili ni...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi ni heshima

Mpaka sasa Marekani imethibitisha watu milioni 1.5 walioathiriwa na virusi vya corona na karibu vifo 92,000.

 

10 years ago

Bongo5

Ni heshima kubwa kwangu kuwa kwenye wimbo wa Wizkid — Asema Drake

Toka Wizkid atoe remix ya ‘Ojuelegba’ ambayo amewashirikisha Drake na Skepta, Drake hakuwahi kusema ni kitu gani kilimsukuma kufanya remix kwa mapenzi yake mwenyewe. Hatimaye Drake amezungumza na kutoa sababu za kuamua kufanya remix hiyo, katika mahojiano aliyofanya na jarida la FADER toleo lake la 100. Baada ya rapper huyo wa Canada kuulizwa endapo aliamua […]

 

5 years ago

CCM Blog

MAREKANI YAZIDI KUONGOZA KWA WAGONJWA WENGI WA CORONA DUNIANI

Waombolezaji katika mazishi mjini New York huku visa vya virusi vya corona katika mji huo vikiongezeka kwa siku ya tatu mfululizo.
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionWaombolezaji katika mazishi mjini New York huku visa vya virusi vya corona katika mji huo vikiongezeka kwa siku ya tatu mfululizo.
New York state sasa ina visa vingi vya virusi vya corona zaidi ya taifa lolote duniani , kulingana na takwimu mpya.Serikali imethibitisha kwamba idadi ya visa vya ugonjwa huo imeongezeka kutoka 10,000 siku ya Alhamisi hadi 159, 937 na kuiweka mbele ya Uhispania ilio na visa 153,000 na Itali ilio na visa 143,000.China ambapo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virus vya corona: Trump asema 'wamefikia kilele cha maambukizi’ mapya Marekani

"Tutarejelea hali ya kawaida wanangu, tena sisi sote,"rais Trump akitabiri kuwa inawezekana majimbo mengine yakafunguliwa mwezi huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Trump asema kambi za kijeshi zenye majina ya majenerali waliotukuza utumwa ni turathi ya Marekani.

Rais wa Marekani Donld Trump anasema kwamba hana mpango wa kubadilisha majina ya kambi za kijeshi zilizotajwa baada ya majenerali walioongoza jeshi la Marekani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Trump asema hana mpango wa kupima, baada ya kukutana na ofisa wa Brazil ambaye aligundulika kuwa na virusi

Trump asema hana mpango wa kupima, baada ya taarifa kuhusu kukutana na ofisa wa Brazil ambaye aligundulika kuwa na virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump

Marekani ina jumla ya wagonjwa wa corona 782,159 na vifo 41,816 kutokana na virusi hivyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

10 years ago

Vijimambo

Vijembe Vya Kisiasa Vyatawala Bungeni......Lusinde Asema Dr Slaa Hafai Kuwa Rais Maana Ikulu Sio Wodi Ya Wagonjwa


VIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.
Akizungumza bungeni kwa vijembe, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), alisema hoja ya kambi rasmi ya upinzani kuwa Serikali imechoka, inawezekana ni kweli ila haikuwekwa vizuri.Alifafanua kuwa Serikali imefanya kazi kubwa ya kukopesha wanafunzi, kutoa huduma ya afya, kujenga barabara kusambaza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani