TTB yampa ubalozi wa heshima Mmarekani
BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imempa ubalozi wa heshima wa utalii nchini Marekani, Macon Dunnagan aliyeutangaza Mlima Kilimanjaro kwa miaka 35. Akizungumza wakati wa kumpokea mtalii huyo aliyeupanda mlima Kilimanjaro...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog20 Jun
Ujumbe wa TTB, TANAPA ukiongozwa na Mhe. Abdulkarim Shah wakaribishwa Chakula cha jioni ubalozi wa Tanzania Washington, DC
Mhe. Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafya kwa tiketi ya CCM akiongozana na ujumbe wake wa Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks (TANAPA) walipowasili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, DC kwenye chakula cha jioni walipokaribishwa Ubalozini hapo siku ya Alhamisi June 19, 2014
. Wengine waliokaribishwa ni Jumuiya ya Watanzania DMV, Kamati ya maandalizi ya sherehe ya Vijimambo, Katibu wa Jumuiya New York alikuwepo lakini chini ya kivuli cha Miss Tanzania USA...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Miyeyusho amsikilizia Mmarekani
BONDIA Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’, anaendelea na mazoezi ya kujifua kwa pambano lake la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF dhidi ya bondia kutoka Marekani. Miyeyusho alifuzu kucheza pambano hilo...
11 years ago
BBCSwahili21 Apr
Mkenya na Mmarekani washinda Boston
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bt5BWlmh0GbxOrvAE4yw3XGov34iuTuHZAVPHFwkmnb8eYTfPjOc*WGxeaEZaCp7Tgi9VLuHtcrRGKg--EbA1xetUBpXT4f4/DIAMOND.gif?width=650)
MMAREKANI NE-YO AMVULIA KOFIA DIAMOND
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mmarekani aliyejiunga na al-Shabab akamatwa
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mmarekani adakwa na dawa za kulevya
10 years ago
TheCitizen02 Sep
TTB says 1.5m tourist arrivals ‘realistic’
11 years ago
Habarileo25 Mar
Bosi TTB avuliwa madaraka
MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Dk Aloyce Nzuki amevuliwa madaraka kwa madai ya utendaji usioridhisha pamoja na kusababisha Tanzania kuwa nyuma katika masuala ya utalii.
10 years ago
TheCitizen24 Feb
TTB shuts tobacco markets