Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUHUMA UGAIDI: ‘Namwachia Mungu suala la binti yangu’

>Wakati mama mzazi wa msichana anayedaiwa kutaka kujiunga na Kundi la Al-Shabaab, Tahliya Sadir akisema kuwa anamwachia Mungu suala la binti yake, babu na bibi yake wameonekana kushtushwa na taarifa hizo na kusema hawakuwahi kufikiria kama  mjukuu wao angethubutu kufanya uamuzi kama huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Sethi:Tegeta Escrow namwachia Mungu

  Sitakubali kutaifishwa mitambo ya IPTL
  Akana kuangamiza Kanu KenyaMwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi
Wakati masikio ya Watanzania yakiwa yameelekezwa Ikulu kusikia maamuzi ya Rais Jakaya Kikwete juu ya maazimio manane yaliyotolewa na Bunge kuhusu sakata la uchotaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi, ameibuka na kudai kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuhuma za washukiwa ugaidi zaibua mapya

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), kimeitaka Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Wanasheria Zanzibar wataka tume huru ichunguze madai ya kukiukwa sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Sita mahakamani kwa tuhuma za ugaidi

WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.

 

11 years ago

GPL

NASUBIRI MUNGU AICHUKUE ROHO YANGU

MWANAFUNZI wa kidato cha nne nchini Burundi, Miburo Anne Mony (17), raia wa nchi  hiyo amesema anakwenda kufia kwao baada ya madaktari ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kumwambia ugonjwa wake wa kansa umecheleweshwa hivyo si rahisi kutibika. HAJUI ATARUDIJE NYUMBANI
Akizungumza na mwandishi wetu huku akibubujikwa machozi ndani ya Wodi Na. 24, Sewa Haji, Muhimbili, mwanafunzi huyo wa kike ambaye hajui Kiswahili wala Kingereza...

 

11 years ago

Mwananchi

Namshukuru Mungu sauti yangu inamtumikia YeYE

Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na wasanii mbalimbali, wanaotoa aina tofauti za burudani. Wapo wa muziki wa dansi, ngoma za asili, maigizo, sarakasi hata muziki wa Injili.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe

Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe

Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja alisema kuwa ni kawaida wabunge kupewa misaada na wafanyabiashara na taasisi za umma. Katika Maelezo yake alirudia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu zilizokwisha tolewa huko nyuma kwamba
1) nilipewa fedha na kampuni ya PAP na
2) nilipewa fedha na shirika la NSSF.

Nashambuliwa, tunashambuliwa!...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE: TUHUMA DHIDI YANGU ZICHUNGUZWE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe.   Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja…

 

11 years ago

GPL

JAMANI! 'MATESO YANGU ANAYAJUA MUNGU’

Makala: Deogratius Mongela na Denis Mtima WAKATI wewe unaishi vizuri na kufanya kila aina ya starehe uitakayo, mambo ni tofauti kwa Ili Chacha (40) ambaye hata mahitaji muhimu kwake ni shida kwa kuwa anasumbuliwa na gonjwa hatari la kansa kwa zaidi ya miaka 14 sasa bila matibabu yoyote.…

 

11 years ago

Michuzi

watuhumiwa 25 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ugaidi nchini

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya
 Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu.Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo. Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani