TUME YA MIPANGO YAPONGEZWA KWA UFANISI
Na Adili Mhina.
Ofisi ya Rais, tume ya mipango imepongezwa kwa hatua kubwa iliyopiga katika kutekeleza majukumu mbalimbli ya kitaifa.
Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo wakati akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango lililofanyikia mjini Kibaha mwishoni mwa juma.
Mheshimiwa Ndikilo alieleza kuwa Tume ya mipango imepiga hatua kubwa katika kutekeleza majukumu yake ambayo ni pamoja na kutayarisha mpango wa taifa wa kila...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Press30 Dec
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.
Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...
10 years ago
MichuziTRA YATOA SEMINA YA HIMAYA MOJA YA FORODHA KWA TUME YA MIPANGO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziUNFPA-TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA TUME YA MIPANGO YAENDESHA WARSHA MKOA WA MARA
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Musoma warsha inafanyika katika ukumbi wa Afrilux Hotel tarehe 11 na 12 Juni 2015. Kituo hiki kinajumuisha Sekretarieti ya...
10 years ago
MichuziTUME YA MIPANGO YATEMBELEA EPZA
10 years ago
MichuziTUME YA MIPANGO WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1yeV7l-DwVI/VHQR87bKmSI/AAAAAAAGzQg/lMt2GLIeqCk/s72-c/unnamed%2B(99).jpg)
TUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA MBABA BAY
10 years ago
MichuziTUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziTume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
VijimamboWAZIRI NAGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO
Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu amefanya ziara ya kujitambulisha kwa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambayo ni moja taasisi anazoziratibu.
Akizungumza wakati wa ziara hiyo Dkt. Nagu alitoa wito kwa Tume ya Mipango ijielekeze katika kujibu changamoto kuu za kiuchumi zinazowakabili watanzania kwa sasa ikiwemo umaskini miongoni kwa Watanzania walioko vijijini, ukosefu wa wa viwanda vya kuongeza thamani mazao hasa kipindi hiki Tanzania...