Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumepoteza nafasi adhimu ya kurejesha uzalendo

WANANCHI wengi , kama sio wote, tulikuwa na hamasa kubwa ya kumuunga mkono Rais John Magufuli ali

Njonjo Mfaume

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Kila siku wanadai eti vijana hatuna uzalendo. Wao wana uzalendo kwetu?

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, mipango miji, machinga, kero vijijini na waishiwa,

Hidaya

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania tumepoteza utanzania wetu?

Kwa kipindi kirefu Watanzania tulikuwa tukijulikana kuwa ni watu wenye upendo na ukarimu wa hali ya juu. Hizi zilikuwa ni sifa kubwa za Watanzania ambazo zilikuwa zinamtambulisha Mtanzania popote alipokwenda ndani na nje ya bara la Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI ADHIMU


Mtoto huyo pichani umri wake hauzidi hata miaka mitano (5) lakini sarakasi alizoruka zilimsangaza kila mtu, wahusika wanatakiwa watembee mikoani kuangalia vipaji hivi, hawa ndio watakaotuletea medali za Olympic miaka ya baadae kama wakiendelezwa. Hii ilikuwa Wilayani Handeni mkoani Tanga wakati wa sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Mkata-Handeni hadi Korogwe kwa kiwango cha lami.

 

9 years ago

Dewji Blog

Amani yetu ni tunu adhimu baraka na fanaka, tuilinde Watanzania wote!

10

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Nuru inapoiangazia dunia, huwaangazia viumbe vyote vilivyo hai na visivyo na uhai, viumbe vyenye uhai, hao hufurahia nuru hiyo kwa kuruka ruka na kucheza kufurahia nuru hiyo. Kila ifikapo asubuhi na mapema, utasikia sauti na mili­o ya ndege wa angani, wanyama wa kufuga na waishio mwituni, milio na sauti za viumbe hao wakati mwingine kuashiria kuwa kumekucha ili waendelee kufurahia nuru inayowanaagazia kwa manufaa ya maisha yao. Wanadamu nao wakiwa kama viumbe...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE

Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi. Habari zaidi tutawaletea kuhusu sababu ya kujiuzulu huko.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

11 years ago

Habarileo

Ahimiza Watanzania kujenga uzalendo

RAIA wa Korea Kusini, Mchungaji Joshua Lee amewashauri Watanzania kuweka uzalendo mbele ikiwa ni pamoja na kujitolea bila kudai fedha kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani