Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumia limao kuimarisha mwonekano wa midomo

Mdomo ni kiungo kinachopewa nafasi kubwa katika urembo wa mwanamke kutokana na kuwa ni miongoni mwa viungo vinavyoonekana kwa haraka zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Gwajima: Asiyempenda Lowassa Akale Limao


Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephati Gwajima amesema kwamba mwananchi au mwanasiasa yeyote asiyempenda Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akale limaoAskofu Gwajima alisema hayo juzi mara baada ya Edward Lowassa kumaliza hatuba yake wakati akitangaza nia ya kutaka kugombea urais katika uchaguzi mkuukwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM.
Kabla ya kumaliza hotuba yake wananchi walimshinikiza Edward Lowassa amsimamishe Askofu Gwajima ndipo Lowassa alimuita na kumpa...

 

10 years ago

GPL

MBUZI WAZIBWA MIDOMO

Mbuzi wakiwa wamezibwa midomo. Na Dustan Shekidele, Morogoro/Risasi Mchanganyiko
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni ubunifu wa hali ya juu, mfugaji mmoja, Msimbe Jonas wilayani Mvomero, Morogoro amebuni mbinu mpya ya kuzuia mbuzi wake kuingia katika mashamba ya wakulima na kula mazao yao. Mwandishi wetu aliyekuwa Mvomero vijijini  hivi karibuni alishuhudia Jonas akiwa na mbuzi wake ambao amewatengenezea chombo (plastiki) na...

 

11 years ago

GPL

AACHIKA KWA KUMUUNGUZA MIDOMO MWANAYE!

Stori:Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Asha (31) ambaye ni mke wa mtu, amejikuta akiachika katika ndoa yake baada ya kudaiwa kumuunguza midomo mwanaye, huko Yombo Buza, jijini Dar, Juni 24 mwaka huu. Paulina, akiwa na majeraha ya moto midomoni. Kwa mujibu wa majirani, mwanamke huyo alimchoma mtoto wake wa kumzaa, Paulina, mwenye umri wa miaka mitano kwa kile alichodai kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Anza mwaka kwa mwonekano mpya

Mwaka unapomalizika, wengi huwa na matarajio makubwa hasa kubadilisha mfumo wa maisha kuendana na mabadiliko ya mwaka, lakini, pamoja na hayo, wapo wanaoona kuwa hakuna haja ya kufanya hivyo wakiamini, wanachotaka kufanya hakihitaji mabadiliko.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitindo ya ubanaji rasta inavyoboresha mwonekano

Ni ukweli usiofichika kuwa nywele ni urembo unaopewa kipaumbele na wanawake wengi hasa katika maeneo ya mijini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Google yabadili mwonekano wa Nembo yake

Google imebadili nembo yake mpya kwa ajili ya watumiaji wake

 

5 years ago

Michuzi

NG'OMBE MWENYE MIDOMO MIWILI AZALIWA ARUSHA

Na Woinde Shizza ArushaSERIKALI kupitia kwa mkurugenzi wa huduma za mifugo Tanzania Prof.Herzon Nonga imetoa ufafanuzi wa kitaalamu juu ya Ng’ombealiezaliwa na midomo miwili pamoja na macho matatu na kubainishakuwa tukio hilo ni lakawaida kwani kutokea ambapo katika ndama elfu2000 wanaozaliwa kunaweza kukawa na mnyama mwenye ulemavu wa viongo mmoja au kutokuwepo kabisa
Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa huduma za mifugo Tanzania Prof.Herzon Nonga wakati akiongea na gazeti hili jana...

 

10 years ago

GPL

NDOA INATAKA MAFUNZO, SIYO KUBINUA MIDOMO- 2

Aih! Jamani hebu tusijitoe akili huu ni mwezi wa toba mwezi wa wastaarabu tuwaache watu wafunge siyo kujipitisha na nguo za matamanio kuwafungulisha wenzenu mchana.Tunaendelea na kiporo chetu naona ushakunja mdomo kwa vile nimekugusa. Dada wewee chuki nichukie lakini yangu yachukue. Sasa tuendelee niliishia wapi vile oo nimekumbuka.
Wanawake wenzangu, kaeni mjue kwamba wanaume wana maudhi ambayo tunatakiwa tuyavumilie,...

 

11 years ago

Mwananchi

Pazia; pambo linaloweza kubadili mwonekano wa nyumba

Tunapozungumzia mitindo na utanashati, tunalenga mtu binafsi pamoja na mazingira yanayomzunguka, kuanzia mavazi yake, mwonekano, miondoko, mazingira ya nyumba au makazi, yanayopaswa kuwa katika hali inayoridhisha wakati wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani