Tunapoajiri vyeti badala ya ujuzi na maarifa; tutafika? (2)
Hoja yangu kuu kwenye mada hii tangu wiki iliyopita ni kuhusu vyeti kama kigezo pekee cha kuajiri wafanyakazi. Wafanyakazi wengi wanashindwa kuleta tija kwenye taasisi zetu hasa za Serikali, kutokana na mtindo wa kuajiri vyeti badala ya ujuzi, maarifa na ubunifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Tunapoajiri vyeti badala ya ujuzi na maarifa; tutafika?
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Tunapofundisha masomo badala ya maarifa tutafika?
10 years ago
MichuziKAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR
10 years ago
MichuziRAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Kwa siasa hizi tutafika tunapotaka?
WANASHERIA wana msemo wao kwamba si tu haki itendeke, bali ionekane imetendeka. Naam, baada ya kupata taarifa kwamba Ridhiwani Kikwete ameteuliwa na chama chake kugombea ubunge wa Jimbo la Chalinze,...
11 years ago
Michuzi28 Apr
KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA
Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.
ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997
Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,
Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Tz:usawa wa maarifa shuleni
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Tusipopenda kujisomea tutapataje maarifa?
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Tunataka wapate maarifa au wajue Kiingereza?