Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa siasa hizi tutafika tunapotaka?

WANASHERIA wana msemo wao kwamba si tu haki itendeke, bali ionekane  imetendeka. Naam,  baada ya kupata taarifa kwamba Ridhiwani Kikwete ameteuliwa na chama chake  kugombea  ubunge wa  Jimbo  la Chalinze,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa siasa hizi, polisi, CCM mtatuingiza katika machafuko

MATUKIO ya polisi kuendelea kuua raia wasio na hatia kwa kutumia risasi za moto sehemu mbalimbali nchini, ni ishara kwamba Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza wajibu wake wa kulinda usalama...

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Si dhambi kumjadili Mwalimu tunapotaka mabadiliko

Hakuna ubishi kwamba Mwalimu Julius Nyerere, ni kati ya wanasiasa na wanazuoni walioyatamani mabadiliko na kufanya kazi kubwa ili kuyaleta.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunapofundisha masomo badala ya maarifa tutafika?

Wengi wanajiuliza, kwa nini nchi za Kiafrika bado ni maskini sana licha ya kuwa na rasilimali nyingi, wasomi wengi na hata misaada lukuki toka nchi zilizoendelea?

 

11 years ago

Mwananchi

Tunapoajiri vyeti badala ya ujuzi na maarifa; tutafika? (2)

Hoja yangu kuu kwenye mada hii tangu wiki iliyopita ni kuhusu vyeti kama kigezo pekee cha kuajiri wafanyakazi. Wafanyakazi wengi wanashindwa kuleta tija kwenye taasisi zetu hasa za Serikali, kutokana na mtindo wa kuajiri vyeti badala ya ujuzi, maarifa na ubunifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunapoajiri vyeti badala ya ujuzi na maarifa; tutafika?

Ni kawaida kukutana na tangazo la ajira linalodai vyeti vingi kama sifa za mwombaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani