Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunataka tusikie kauli ya pamoja mgogoro wa uchaguzi Zanzibar

Baadhi ya vyombo vya habari jana vilimkariri Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akisema kwamba viongozi wa Serikali na vyama vya siasa visiwani humo wameifikia makubaliano ya kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu. Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka uchaguzi wa amani

WAKATI wananchi wa kata 27 kutoka halmashauri mbalimbali nchini wakisubiri kupiga kura Jumapili ijayo kuwachagua madiwani wa kata zao, taarifa za kuwepo kwa vurugu kwenye kampeni hizo zinasikika na kusababisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka uchaguzi si uchafuzi Chalinze

LEO wakazi wa Chalinze wanapiga kura kumchagua mbunge wao atakayebeba kero, matatizo na mawazo kwenye Bunge ambalo lina jukumu kubwa ya kuisimamia serikali. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha...

 

5 years ago

Michuzi

Tunataka Shughuli za Uchaguzi Mkuu 2020 zifanyike Jengo Jipya la NEC-Mhagama

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama, amekagua hatua ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), zilizopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma na kusema kuwa serikali imedhamiria shughuli za Uchaguzi Mkuu mwaka huu kufanyika kwenye jengo hilo jipya la Tume hiyo.

Amebainisha hayo wakati alipofanya ukaguzi wa maendeleo ya Ujenzi wa majengo ya Tume hiyo, leo tarehe 10 Februari, 2020, ambapo...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar. Kuona majimbo yote ya uchaguzi zanzibar, BOFYA HAPA

 

9 years ago

Vijimambo

TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufutwa kwa uchaguzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mpaka hapo itakapotangazwa tena.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro Zanzibar wakwaza muungano

Kuendelea kwa sintofahamu baada ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kufutwa imeelezwa kusababisha mikwamo ya kisiasa, ikiwamo kushindwa kukamilika utimilifu wa Bunge na sura ya baraza la mawaziri.

 

9 years ago

Mtanzania

Mgogoro Zanzibar waitisha CCM

Pg 2 DEC 2*Yaunga mkono juhudi za Dk. Magufuli

 

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar unaitia doa Tanzania kwenye uso wa kimataifa, licha ya kwamba Serikali ya awamu ya tano imeanza kutekeleza vizuri majukumu yake.

Nape ambaye jana alitembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd zilizopo Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, alisema kinachofanywa na Rais Dk. John Magufuli kwa sasa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani