Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunu: Pinda kutajwa urais kulinishtua

Mke wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, mama Tunu Pinda amesema kuwa alishtuka kusikia habari kwamba mumewe ametangaza nia ya kuwania urais mwaka 2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Kutajwa urais ni vyema

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa siyo jambo baya kwake kutajwa kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao 2015 na kwamba kujitokeza pia ni jambo jema.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AMEZINDUA MFUKO WA ELIMU

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akizindua mfuko wa Elimu Tanzania  (TEF) kwa ajili ya kusaidia elimu ya msingi na sekondary kwa watoto wa kike na wakiume waliopo katika mazingira magumu. Kulia kwa mama  Pinda ni Rais wa Tasisi ya mshikamano wa wanawake wa kiafrika kutoka nchini Maerkani Bibi Rwanda Saleem na kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama cha walimu wanawake Tanzania (TAWOTEA) Mwalimu Fatuma Kambi. Sherehe hiyo imefanyika jijini Dar es salaam katika kusherehekea siku ya wanawake...

 

10 years ago

Habarileo

Tunu Pinda na rai ya watoto wa kike kusoma sayansi

MKE wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Tunu Pinda, ametoa rai kwa watoto wa kike nchini kuthubutu kusoma masomo ya sayansi kwa sababu wanaweza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda azindua Taasisi ya Manjano Foundation

Mgeni Rasmi kwenye halfa ua Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi Pendwa Vijulikanavyo kama Luv Touch Manjano Mke wa Waziri Mkuu Mh Tunu Pinda akitoa Hotuba yake katika Uzinduzi huo .

Katika Hotuba yake Mh Mama Pinda Alisema amefurahishwa sana Kwa Mwanamke wa Kitanzania Kuanzisha Bidhaa amabyo imeweza kushindana na Bidhaa kama hizo kutoka mataifa Mengine.Halfa hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Hafla hiyo ya uzinduzi ilifunguliwa na mke wa Waziri...

 

10 years ago

GPL

TUNU PINDA AHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKIANA ILI KUJIKOMBOA

Mke wa Waziri Mkuu,  Mama Tunu Pinda,  akiongea na wanawake(hawapo pichani). ...(Katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mahita (kulia) na baadhi ya wanawake wengie wakikata keki.…

 

10 years ago

Vijimambo

HITIMA YA BABA MZAZI WA MAMA TUNU PINDA YAFANYIKA

TU1Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifarijiwa na Mke wa makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Iddi katika Sala ya Arobaini ya kifo cha Baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani iliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Mei 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)TU2Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum akizungumza katika sala ya hitima ya marehemu Abdallah Rehani, baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda iliyofanyika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda na mkewe Tunu wilayani Mlele

PG4A7542

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7551

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.

PG4A7037

Mke wa Waziri Mkuu, Mama  Tunu Pinda  akionyesha DVD...

 

9 years ago

GPL

MAMA WA MKE WA WAZIRI MKUU TUNU PINDA AZIKWA JIJINI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) ambaye alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani kwa marehemu, Tabata Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015. Kuliani Mama Hasina Kawawa. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba Wapili kushoto na Mama Hasina Kawawa waliokwenda kumfariji kufuatia kifo...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda atunukiwa Cheti cha Ubalozi wa Amani Duniani

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi wenzake 10 waliotunukiwa vyeti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani