Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUOENI TU JAMANI ILA WANAMKE WA SAMPULI HII NI MAJANGA!

SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni kujiingiza kwenye matatizo. Dhana hiyo haina mashiko kiviile, asikuambie mtu unapoingia kwenye ndoa na mtu anayekupenda na wewe unampenda kwa dhati, karaha hakuna licha ya kwamba kugombana kwa hapa na pale hakuwezi kukosekana. Hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

GPL

HIVI MKE WA SAMPULI HII WA KAZI GANI?

Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nimeona nimzungumzie mwanamke ambaye hana sifa za kuendelea kuitwa mke, dawa yake ni kuachwa awe ‘nunga yembe’. Haridhiki na penzi lako
Wapo wanawake ambao wewe unaweza kujitahidi kumpatia mapenzi kadiri unavyoweza lakini yeye hatosheki. Anakuchukulia wewe ni dhaifu sana na wakati mwingine kuhisi yupo mwingine anayeweza kumpa zaidi ya kile unachompa, huyu ni tatizo. Ana wivu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jamani, hivi tunafahamu Julai 23 hii hapa?

Ninawakaribisha tena wiki hii katika kona yetu ya hoja. Ni wazi kuwa mambo yanakwenda, japokuwa maisha ni mapambano.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio Laptop iliyovunja rekodi kwa 2016, nyembamba ila yenye ubora wake.. (+Video)

Kampuni ya CES ndio watengenezaji wa laptop za Lenovo kutoka China ambapo mwaka 2016 wanakuja kuiandika rekodi mpyampya Duniani. Lenovo wanakuja na aina nyingine ya Laptop kwa mwaka huu 2016, mzigo ni Lenovo Yoga 900 ambapo hii itakuwa ndio laptop nyepesi zaidi Duniani, ina upana wa nusu inch tu upana ambao wanaufananisha na ule wa simu […]

The post Hii ndio Laptop iliyovunja rekodi kwa 2016, nyembamba ila yenye ubora wake.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

INAUMA SANA KUONA MSANII MWENZETU KIJANA DAZ BABA AKIWA KATIKA KHALI HII MBAYA...TUMSAIDIE JAMANI

Inauma sana kuona kijana mwenzetu yupo katika hali hii...Huyu ni msanii mkubwa na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei... Sababu ya kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu kazi ya taifa..#Daz ni kijana mdogo sana na ukimwangalia kwenye pic utadhani mzee...Naamini bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha...

 

5 years ago

Michuzi

WANAMKE ADAIWA KUUWA MFANYAKAZI WA NDANI

Na Woinde Shizza, ArushaMWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Mkami Shirima(33) mkazi wa Ilikiurei nje kidogo ya jiji la Arusha, anadaiwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani, Salome Zacharia (17)kwa kumpiga fimbo akimtuhumu kuiba shilingi elfu 50.
Mwanamke huyo ambaye anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa,anadaiwa kutenda tukio  la kumshambulia binti huyo siku ya Alhamis wiki iliyopita na baadaye alimfungia katika chumba kimoja wapo katika nyumba yake kwa muda wa siku mbili bila...

 

9 years ago

Habarileo

‘Sampuli zina ubora wa kimataifa’

TAASISI ya Twaweza imesema inaziamini kwa asilimia 95 sampuli zilizotumika kukusanya taarifa ya utafiti kuhusu ‘Sauti za Wananchi’ kwenye siasa na kusisitiza kuwa sampuli hizo zina ubora wa kimataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani