Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tupende na tuuenzi utamaduni na asili yetu watanzania



TEMBELEA LIBENEKE LAO KWA KUBOFYA LIKI HIYO
www.akomungoma.co.tz

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YETU NA UTAJIRI WA ASILI

Kwanza kabisa nianze kwa kusema kuwa Mwenyezi Mungu ametubariki kwa utajiri wa maliasili uliotukuka katika nchi yetu ya Tanzania. Tukianzia kwenye Bahari na mpaka Maziwa. Ni nchi pekee katika bara la afrika kuzungukwa na maziwa makuu matatu. Yenye uoto wa asili na ndipo panaposadikiwa kuwa mpaka sasa inasadikika kuwa binaadamu wa kwanza alitoka hapa kutokana na rekodi za fuvu lililovumbuliwa kule Olduvai Gorge. Tuna mbuga nyingi lakini katika mbuga hizo Serengeti ndio kinara wa mbuga zote...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania msidharau dawa za asili

Ujio wa ukoloni umeathiri sana mwenendo mzima wa hali ya afya kwa Waafrika wengi. Mojawapo wa athari za ujio huu ni kupandikizwa katika akili za Waafrika dhana kuwa kila kitu kilicho cha asili ni kibaya na hakina budi kuachwa. Kwa mfano chakula cha asili, nyumba za asili, mavazi ya asili, dawa za asili na hata tabia na mienendo ya asili.

 

11 years ago

Dewji Blog

Asilimia 60 ya watanzania kutumia tiba asili-WHO

2

Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.

Na Damas Makangale, MOblog...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafu ni utamaduni wa Watanzania?

SERIKALI ni nini? Ni chombo kikuu kabisa chenye madaraka ya kuendesha utawala  wa nchi, chenye wizara mbalimbali. Serikali ni nani? Ni mimi, wewe na yule. Ni watu; na watu ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Kulikoni Watanzania tudharau fedha yetu

Bado hainiingii akilini kuona Tanzania inaendelea kujali zaidi noti au fedha za kigeni. Inashangaza kuona tunashindwa kuthamini shilingi yetu, badala yake tunashabikia matumizi holela ya fedha za Marekani ambayo kwa sasa ni kawaida kuona ikitumiwa hata katika baadhi ya Baa na Migahawa nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania washauriwa kujenga utamaduni wa kusoma, kuandika vitabu

 Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kuchota maarifa mbalimbali na kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Bw. Evodius Katare (pichani) ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawa na Fedha wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (DART) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.

“Watanzania wakijenga utamaduni huu wa kusoma vitabu itawasaidia sana kimaisha,” alisema na kuongeza kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani