Tutaishambulia BDF XI ya Bostwana
Kocha wa klabu ya Yanga, Mdachi Hans Van de Pluijm amesema watawashambulia wapinzani wao, BDF XI ya Botswana mwanzo mwisho katika kipindi cha kwanza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Pluijm aiponda BDF
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amekasirishwa na mfumo wa kujilinda uliotumiwa na BDF XI kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Licha ya BDF kucheza kwa staili hiyo, Yanga ilifanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Amissi Tambwe.
Akizungumza mara baada ya mchezo huo, Pluijm alisema timu yake ilipata shida sana kucheza nyuma ya mabeki watano wa BDF na kupelekea kutumia...
10 years ago
GPLBDF yafanya mchezo mchafu
10 years ago
TheCitizen15 Feb
Tambwe brace sinks BDF
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Yanga kidedea, yaichapa BDF XI 2-0
10 years ago
Mwananchi27 Feb
MTN ya Yanga kuichakaza BDF XI
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Yanga SC kanyaga BDF XI twende
10 years ago
TheCitizen14 Feb
SOCCER: Yanga target BDF scalp
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Kocha Pluijm: BDF hawatoki Taifa leo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amewaondoa shaka mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wao dhidi ya BDF XI ya Botswana utakaofanyika leo na kueleza kuwa timu yake itawafunga Wabotswana hao.
Yanga itachuana na BDF kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni leo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana mbele ya waandishi wa habari kwenye mkutano wa makocha wa pande...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Yanga, Azam pongezi kuwadunda El-Merreikh, BDF XI